Hivi hili ni ubinafsi uliopitiliza au tuitaje? Lipo sana kwa wachungaji na wanasiasa

Kwani umelazimishwa? Kuwalazimisha ni vibaya. Kama tumetoa Kwa hiari ni upumbavu wetu tuache! Na hata wewe siamini kama bando unawekewa kuiandika haya uliyoandika.
 
Kwa madhila yaliyomkuta TUNDU ANTIPAS MUGHWAI LISSU tutamchangia hata bila yeye kusema chochote kama ambavyo tumeamua kumchangia kwa ajili ya kumnunulia ndinga mpya LC 300 baada ya alilokuwa akitumia nyie mkalichakaza na risasi bila huruma kwa lengo la kutoa uhai wake.

Na hata hili likiisha akisema hana mafuta tutamchangia tena ili wenye wivu wa kike mkajinyonge pambaaf
 
aah kumbe huyo nae ni miongoni mwa ombaomba kuchangiwa. Ndio tabia na mazoea mabaya mtoa hoja anajaribu kutukumbumsha kuikemea 🐒
 
Shida ipo kwa watoa michango. Wao wanaona hao wanasiasa na wachungaji hawastahili kuishi maisha wanayoishi wao. Na hao wenyewe wanaona kuishi maisha wanayoisha wanaowatawala ni ajabu. Ndio maana akipanda usafiri wa umma au boda boda au bajaji atapost kama vile ni jambo la ajabu na wananchi watasema jamaa kweli mzalendo na mtu simple. Yani eti kutumia kile wanachotumia ni uzalendo.
Mimi mwenyewe naanzaje kumchangia mtu ambaye kwanza uwezo anao na bado kama usafiri anao tena SUV
 
Japo sijachanga kwa kutoona umuhimu lakini sioni tatizo pia watu kuchanga.

Maana *150# unabonyeza kwa utashi wako kabisa,kisha unatumia 1000 na unahakiki na namba ya siri.
 
Vizuri ungetueleza lini na wapi Lissu aliitisha kikao cha kuomba achangiwe hela za kinunua gari.
 
Mwambie lissu ndio ameleta hoja anachangiwa kununua gari jipya. Yaani kiongozi mbinafsi hadi inashangaza.
 

ULALAMISHI WA MWANAMKE MGUMBA. MTU AKIOMBA KUNA MAWILI KUMPA AU KUMNYIMA. SASA HILO NALO LA KUJA LALAMIKA HUMU? UNGEKUWA MWANAUME NINGEKUTOA MAANA KABISA. ILA KWA NYIE WANAWAKE NDO KAWAIDA YENU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…