Falasi kweli kweli,tena dumeWe falasi kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Falasi kweli kweli,tena dumeWe falasi kweli
Lissu amepigwa risasi 16 na nyingine 22 kuharibu gari kwa kuwatetea watanzania madini yao yasiuzwe.
Kipi kina thamani kati ya uhai na LC 300?
Kwani umelazimishwa? Kuwalazimisha ni vibaya. Kama tumetoa Kwa hiari ni upumbavu wetu tuache! Na hata wewe siamini kama bando unawekewa kuiandika haya uliyoandika.Wachungaji na wanasiasa kuomba waumini au wananchi wawachangie kununua vitu kama mfano magari au kuwachangia kufanikisha safari zao za kwenda Ziarani nje ambazo nyingine ni mapumzikoni tu .
Au kufanikisha mambo ambayo ni faida yake binafsi au mambo kama pesa ya Mwenge /ujenzi wa shule mambo ambayo Serikali inaweza gharamia
Unakuta walengwa ni watu ambao hata kula yao tu shida.
Tuitaje hili? Kibaya zaidi anachangiwa mtu mwenye uwezo mkubwa tu wa kifedha.
Kwa madhila yaliyomkuta TUNDU ANTIPAS MUGHWAI LISSU tutamchangia hata bila yeye kusema chochote kama ambavyo tumeamua kumchangia kwa ajili ya kumnunulia ndinga mpya LC 300 baada ya alilokuwa akitumia nyie mkalichakaza na risasi bila huruma kwa lengo la kutoa uhai wake.tena unakuta anae omba achangiwe ana afya njema, akili timamu, ana uwezo na nguvu kabisa za kufanya kazi....
mi nadhani,
msingi wake ni malezi, mazoea na tabia mbaya wanazo endekeza baadhi ya wana siasa na hao wa huko kwa maombezi ambao ni wa binafsi sana na wanajiona wao ni special than special itself.
tabia hii isopokemewa kwa nguvu zote, hukomaa na kua ndio maisha ya mtu, kama ya ombaomba wengine huko mabarabarani. ni aibu na fedheha sana kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki au taasisi inayohusika![]()
aah kumbe huyo nae ni miongoni mwa ombaomba kuchangiwa. Ndio tabia na mazoea mabaya mtoa hoja anajaribu kutukumbumsha kuikemea 🐒Kwa madhila yaliyomkuta TUNDU ANTIPAS MUGHWAI LISSU tutamchangia hata bila yeye kusema chochote kama ambavyo tumeamua kumchangia kwa ajili ya kumnunulia ndinga mpya LC 300 baada ya alilokuwa akitumia nyie mkalichakaza na risasi bila huruma kwa lengo la kutoa uhai wake.
Na hata hili likiisha akisema hana mafuta tutamchangia tena ili wenye wivu wa kike mkajinyonge pambaaf
Sawa lusohokoKwani umelazimishwa? Kuwalazimisha ni vibaya. Kama tumetoa Kwa hiari ni upumbavu wetu tuache! Na hata wewe siamini kama bando unawekewa kuiandika haya uliyoandika.
Shida ipo kwa watoa michango. Wao wanaona hao wanasiasa na wachungaji hawastahili kuishi maisha wanayoishi wao. Na hao wenyewe wanaona kuishi maisha wanayoisha wanaowatawala ni ajabu. Ndio maana akipanda usafiri wa umma au boda boda au bajaji atapost kama vile ni jambo la ajabu na wananchi watasema jamaa kweli mzalendo na mtu simple. Yani eti kutumia kile wanachotumia ni uzalendo.Wachungaji na wanasiasa kuomba waumini au wananchi wawachangie kununua vitu kama mfano magari au kuwachangia kufanikisha safari zao za kwenda Ziarani nje ambazo nyingine ni mapumzikoni tu .
Au kufanikisha mambo ambayo ni faida yake binafsi au mambo kama pesa ya Mwenge /ujenzi wa shule mambo ambayo Serikali inaweza gharamia
Unakuta walengwa ni watu ambao hata kula yao tu shida.
Tuitaje hili? Kibaya zaidi anachangiwa mtu mwenye uwezo mkubwa tu wa kifedha.
Serikali imemlipa fidia
Atumie hizo hela kununua
HawatoshekiSerikali imemlipa fidia
Atumie hizo hela kununua
Mwenge na ujenzi wa shule hyo ni lazima mwanafunzi kutoa hiyo ni kwa huku kwetu na arambee kanisani ni maamuzi yako lakin usipotoa kitakukuta cha kukuta siku unaitaji msaada wa shirika husika labda kipaimara au ubatizoKwani huwa wanakutumia mgambo kuchangia? Ukiona unaweza changa huwezi acha
Hakuna ulazimaMwenge na ujenzi wa shule hyo ni lazima mwanafunzi kutoa hiyo ni kwa huku kwetu na arambee kanisani ni maamuzi yako lakin usipotoa kitakukuta cha kukuta siku unaitaji msaada wa shirika husika labda kipaimara au ubatizo
Vizuri ungetueleza lini na wapi Lissu aliitisha kikao cha kuomba achangiwe hela za kinunua gari.Wachungaji na wanasiasa kuomba waumini au wananchi wawachangie kununua vitu kama mfano magari au kuwachangia kufanikisha safari zao za kwenda Ziarani nje ambazo nyingine ni mapumzikoni tu .
Au kufanikisha mambo ambayo ni faida yake binafsi au mambo kama pesa ya Mwenge /ujenzi wa shule mambo ambayo Serikali inaweza gharamia
Unakuta walengwa ni watu ambao hata kula yao tu shida.
Tuitaje hili? Kibaya zaidi anachangiwa mtu mwenye uwezo mkubwa tu wa kifedha.
Kuna sehemu umeona pameandikwa Lissu?Vizuri ungetueleza lini na wapi Lissu aliitisha kikao cha kuomba achangiwe hela za kinunua gari.
Kwahiyo uzi wako hauna uhalisia, tujadili jambo ambalo halipo!Kuna sehemu umeona pameandikwa Lissu?
Uzi wangu upi ? Kwani lisu pekee ndio anae omba mbona hata Serikali inaomba hela zq Mwenge?Kwahiyo uzi wako hauna uhalisia, tujadili jambo ambalo halipo!
Huu mwenge wa Uhuru ndiyo ulishashindikana, watumishi na wafanyabiashara wanataarufa zake, viongozi wamefanya sehemu ya mapato/ kujineemesha.Cha kushangaza mkuu Hadi mwenge wa uhuru watu wanalazimishwa kuchangia.
Mwambie lissu ndio ameleta hoja anachangiwa kununua gari jipya. Yaani kiongozi mbinafsi hadi inashangaza.Wachungaji na wanasiasa kuomba waumini au wananchi wawachangie kununua vitu kama mfano magari au kuwachangia kufanikisha safari zao za kwenda Ziarani nje ambazo nyingine ni mapumzikoni tu .
Au kufanikisha mambo ambayo ni faida yake binafsi au mambo kama pesa ya Mwenge /ujenzi wa shule mambo ambayo Serikali inaweza gharamia
Unakuta walengwa ni watu ambao hata kula yao tu shida.
Tuitaje hili? Kibaya zaidi anachangiwa mtu mwenye uwezo mkubwa tu wa kifedha.
Wachungaji na wanasiasa kuomba waumini au wananchi wawachangie kununua vitu kama mfano magari au kuwachangia kufanikisha safari zao za kwenda Ziarani nje ambazo nyingine ni mapumzikoni tu .