Hivi hizi dini za Kikristo ni za kweli?

Unawasifu waislam kusoma quran kwa kiarabu ili mmasai asielewe si ndio. Au wanasikia raha ile kusoma huku wanaimba bila kujua hata kinachoongelewa
 
Otorong'ong'o kazini na propaganda zake dhidi ya kanisa la Waadventista Wasabato

Nachoshukuru program zako walizokufeed hazijawahi kubadilika kila siku ni yaleyale mara cult mara takataka gani sijui upuuzi tu hauna jipya

Ila mafundisho yenu ya uongo huyasemi habari ya kuwaombea wafu, ubatizo wa watoto, kuomba kupitia Maria na wafu wengine, kubadili sabato ya Bwana na amri zake haya huyaoni kabisa ni kipofu kabisa

Hii nguvu ungeitumia kutetea kweli za Mungu zinazokanyagwa na dhehebu lenu hakika ungewavuta wengi kwa Kristo
 
Dini ya kweli ni kumfuata Kristo na kuzitii Amri Kumi za Mungu utaokoka na kuurithi Ufalme wa Mungu
 
Lini aja
 
Ubatizo wa watoto ni utata uliokubuhu. Unamteka mateka kiiimani kwani hajui kitu. Akue achague imani yake ukimlea kwa maadili mema. Mimi nilibatizwa nikiwa na miaka 18 ila kuchunguza ukristu na chanzo chake nikasepa .Kwa sasa imani yangu naijua mwenyewe.
 
Nikuhakikishie tu kwamba najua vyote ulivoandika na nimesoma vitabu vya Ellen g white vingi mno obviously more than ten na vipo vingi mno kumaliza sio rahisi coz I have a lot to read but vitabu vyake vikuu ambavyo vimekuwa kama misingi ya mafundisho nimesoma. Almost vyote
 
Vitabu gani.....

EGW Early Writing
Investigative Judgement
Great Contoversy.......??? Vitabu gani hasa
Okay early writings, great controversy, testimonies for the church na more ni vya white navyo nimesoma nikuhakikishie tu

But rudi kwenye history achana na SDA sababu kitabu kama great controversy kimebase sana kwenye history rudi kwenye history books kwenye vitabu kama vya early fathers waanzilishi wa ukristo wakwanza uone shuhuda zao utajua mengi narudia tena rudi vitabuni kijana
 
Sidhani kama ulikuwa na habari kuwa Joseph Smith alijiengua SDA na kwenda kuanzisha Jehova Witness..

Sababu za kumuondoa sidhani kama unazifahamu
Ninapo kwambia nimesoma historia ya kanisa LA SDA na hayo yote ulioyaita cult namaanisha hakuna utachoniambia kipya kwangu kaka labda kama umefunuliwa wewe tu ila kama kimeandikwa basi jua nakifahamu
 
Biblia gani...?? Biblia yenyewe ni mali na ubunifu wa hao Wakatoliki.....yani wao ndio walio-compile hiyo biblia inayotumia wewe..


Hivi najibizana na mtu mwenye uelewa kweli...


Na sina uhakika kama unafahamu maana ya Doctrine.....
Yani MTU asiye fahamu neno doctrine jukwaa lake inabidi liwe LA entertainment kaka

Doctrine ni simply mafundisho
 
Nilitaka kujua wewe ni nani hasa....maana hapa ulitaka kukana kikundi chako cha SDA kijanja...ila baada ya kuutupa mshale hewani nimesikia sauti...

Unaona hapa ulivyokana Usabato wako

Sasa nakurudia tena kwenye hii post yako...
Ukisoma vizuri utajua actually sins dhehebu nimekutajia mapungufu pia ya SDA ,na strength za mashaidi wa yehovah inamaana Mimi ni mmoja wao hebu soma vizuri before you make ur conclusion
 

Nothing new has been added from what I know ni just more clarifications
 
Weka uthibitisho kuwa hao wanafanya ibda ya kikristo.
 

Nimekwambia Mimi sio SDA
Usiforce niwe nilitaka tu kumake things clear

Kuhusu Ellen g white estate Hio ni moja ya vitu ambavyo vilinifanya nisiwe convinced na imani Hio kwasababu ambazo ni nyingi

Kuna vitu havipo clear namimi dini yenye siri yoyote siwezi iamini maana yanarudi yaleyale ya wakatoliki
Mfano.ukisoma soma LA ulaji wa nyama kuna sehemu katika vitabu anajipinga
Pia there is a controversy behind the the great controversy origin ya kitabu mwandishi halisi (plagiarism if you know what I mean)
 
Unawasifu waislam kusoma quran kwa kiarabu ili mmasai asielewe si ndio. Au wanasikia raha ile kusoma huku wanaimba bila kujua hata kinachoongelewa

Jaribu kusoma na kuelewa.
Nimesema moja ya sababu ya mkanganyiko wa Christian doctrines ni kupotea kw a maana through translations

Leo kuna baadhi ya mistari ukisoma kwa kiswahili unaingia chaka completely maana haieleweki.unapotafsiri lugha moja kwenda nyingine tens lugha zisizo endana kabisa kama kiebrania kwenda kiswahili ,au Aramaic (,kitabu cha Daniel) kwenda kiswahili ,au kilatin kwenda kiswahili lazima upoteze maana

Ndomana nikasema njia wanayotumia waislamu katika kuitunza Qur'an ni nzuri maana wa. Hifadhi maana halisi iliyokusudiwa kwa kujifunza katika lugha ya asili

Unapojifunza kitu in its original language you can easily get the intended meaning .

Usiponielewa basi tena.
 
Kwa hiyo...????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…