adhabu gani?We kishombi acha kupanic,mwenzio anakuuliza vizuri unaongea ovyo.ok kama una mwamini Mungu vizuri ila kumbuka imani bila matendo imekufa! Kama matendo yako yanaendana na imani basi barikiwa.ila kama mpuuzi basi ngojea adhabu yako
Aise hujakosea kabisa na mtazamo wako, kuna kasinema nilitazama, kulikuwa na wakinamama wanaharakiti, walidai Mungu ni mwanamke!Nikimwita Mungu Mama nina kosa? Tuache gender aitwe tu Muumba au Mungu
Brother We Umekremishwa Uko Madrasa. Mungu Hataki Dini yako, anataka moyo wako, Acha Izo akili za kujipendelea, Mungu Hakuleta Dini. Ishi vizuri na watu Usijione wewe Bora kuliko wenzio MUNGU hakuleta Dini. Izo ni Njia tu za kumkaribia Basi,Haiwezekani, alieniumba mimi hakunifundisha kuwa Chadema ni Dini. Halafu Mungu alieniumba mimi ametaka dini yake isimbae dunia nzima. Sasa namshangaa Mungu unaemsema wewe dini hio ipo Tanzania tu na wala haimhubiri mungu....
Nilitaka kukasirika mwishowe mifano yako imenichekesha! Kwenda kanisani na silaha cha mtoto, kuna dini zingine zimeingia kichwakichwa hata kuua watu, kuchinja nk huku wakiwa na bendera ya dini yao, kitabu nk. Wengine wanatumia hata vifaru, madege ya kivita, silaha za sumu nk na kwamba wanaua watu wote wasiokuwa wa dini yao kwa nia ya kuunda dola la dini yao. Yaani hawa mapadri waliobeba SMG, LMG na RPG ni cha mtoto. Nenda ukanda wote kuanzia Afghanistan, uje Iraq, Iran, Syria, Jordan, Lebanon, ambaa ambaa kuelekea maeneo ya kusini utakuta Yemen nk, wote hao wanauana huku wamebeba ishala mbalimbali za dini yao na kupigania imani yao. Hawa wakatoloki uliotuonyesha ni cha mtoto!Ni maswali wanajamii wajiulize hasa wale wanao amini Ukristo, tumeshuhudia kina nabii Bushiri/Kakobe/Tb Joshua/Lwakatare/yule wa Dodoma/Mwingira/mzee wa Upako/Gwajima/Massanja/Flora/wale walevi Afrika Kusini n.k. n.k.
Ukija KKT au Katoliki ni michango, kutengana na ubadhirifu wa sadaka kwenda mbele..!
Hivi kwanini wanaidhihaki hii dini?! Kwa Waislamu kesi hizi ni chache, wao na mtume wao poa tu, mdogo mdogo, ila Wakristo ni vituko kukicha tazama ya hawa USA sasa...
View attachment 703418 View attachment 703419 View attachment 703420 View attachment 703421 View attachment 703422
Worshippers take assault rifles to church as they vow to protect US gun laws Worshippers take assault rifles to church as they vow to protect US gun laws
Toka lini dini za amani zikahusisha kubeba silaha za kivita Kanisani?! Kama siyo kujaribiana na hata watoto wetu tunaowabambika hizi Dini kuanza kutuuliza kama kweli Imani zetu zina mshiko au la ?! Kunani lakini?!
Ni maswali wanajamii wajiulize hasa wale wanao amini Ukristo, tumeshuhudia kina nabii Bushiri/Kakobe/Tb Joshua/Lwakatare/yule wa Dodoma/Mwingira/mzee wa Upako/Gwajima/Massanja/Flora/wale walevi Afrika Kusini n.k. n.k.
Ukija KKT au Katoliki ni michango, kutengana na ubadhirifu wa sadaka kwenda mbele..!
Hivi kwanini wanaidhihaki hii dini?! Kwa Waislamu kesi hizi ni chache, wao na mtume wao poa tu, mdogo mdogo, ila Wakristo ni vituko kukicha tazama ya hawa USA sasa...
View attachment 703418 View attachment 703419 View attachment 703420 View attachment 703421 View attachment 703422
Worshippers take assault rifles to church as they vow to protect US gun laws Worshippers take assault rifles to church as they vow to protect US gun laws
Toka lini dini za amani zikahusisha kubeba silaha za kivita Kanisani?! Kama siyo kujaribiana na hata watoto wetu tunaowabambika hizi Dini kuanza kutuuliza kama kweli Imani zetu zina mshiko au la ?! Kunani lakini?!
Dini inatumiwa na wahusika kujitajirisha, sisi ni ng'ombe, wanywa maziwa ndio wale walioleta dini, wanatunyonya mpaka hatujielewi, tuamke, hakuna cha ukristo wala uislamu, madini yote haya ni kwa ajili muwapelekee mapeni tu, kuanzia hijja za Mecca mpaka Jerusalem, tena mmesikia, Wayahudi wanataka kodi zao kwenye hizo site mnazoenda kuhiji, makanisa yaja juu!
Pesa ndio dini ya waliowaletea hizo imani, wanajuwa mtanunua biblia, wanajuwa mtanunuwa koran, wanajuwa mtaenda hiji wanajuwa imani hizo ndizo zitakazowasambaratisha waafrika msielewane, ili waendelee kuwanyonya kisawasawa...
TENA DINI HIYO WANAUANA WAO KWA WAO, NI WATU WA JAZBA ILE MBAYA. AJABU YAO WAKATI WAKIWAUA WENZAO UTAMKA JINA LA MUNGU WAO KUWA "MUNGU NI MKUBWA, MUNGU NI MKUBWA.Nilitaka kukasirika mwishowe mifano yako imenichekesha! Kwenda kanisani na silaha cha mtoto, kuna dini zingine zimeingia kichwakichwa hata kuua watu, kuchinja nk huku wakiwa na bendera ya dini yao, kitabu nk. Wengine wanatumia hata vifaru, madege ya kivita, silaha za sumu nk na kwamba wanaua watu wote wasiokuwa wa dini yao kwa nia ya kuunda dola la dini yao. Yaani hawa mapadri waliobeba SMG, LMG na RPG ni cha mtoto. Nenda ukanda wote kuanzia Afghanistan, uje Iraq, Iran, Syria, Jordan, Lebanon, ambaa ambaa kuelekea maeneo ya kusini utakuta Yemen nk, wote hao wanauana huku wamebeba ishala mbalimbali za dini yao na kupigania imani yao. Hawa wakatoloki uliotuonyesha ni cha mtoto!
Nimeuliza ni SDA gani hiyo huyo kenge anainadi zaidi za hiyo niliyotolea sifa zake za msingi..??Otorong'ong'o
Aah mzee wa... Comedy and misspelled ungekosekana hapa kutokana na kuwepo kwa watesi wako SDA ningeshangaa sana.
Nimeuliza ni SDA gani hiyo huyo kenge anainadi zaidi za hiyo niliyotolea sifa zake za msingi..??
Je! Ni kweli muanzilishi wenu Ellen G White alipinga Utatu Mtakatifu...??Lakini chunga hisia zako kwa shutuma kwa unayemuona ana kibanzi ila hujachukua kioo kujiangalia either una bolt jichoni kwako or uchafu wowote...
Hata Yesu walimdhihaki kwa kumwita mtoto wa fundi Seremala tena familia duni, iweje aje kuwa na hekima kubwa na kuwa Mwokozi wa ulimwengu?Peleka ushenzi huko kwenye makambi..
Yani unataka kuniambia hicho kikundi kilichoanzishwa na mwanamke Ellen Gould White mke wa Bw James White, tena mkulima wa massachusset mwaka 1863 ndio dini...???
Yani unataka kuniambia hawa hawa SDA wanaopinga utatu Mtakaifu na Ufufuko wa Yesu ndio dini ya kweli...???
Yani unataka kuniambia hawa hawa SDA wahuni waliomsingizia Yesu kuwa kajificha mbinguni kwenye uchochoro eti anafanya hukumu ya upelelezi..??
Hebu wacha ushenzi wewe...
hayo mabawa yanaukweli wowote au imaginationsDini iliyobaki inayofundisha mapenzi ya MUNGU na neno lililo hai na la kwel,dini inayofundisha kurudi na marejeo ya kristo mara pili,dini inayofundisha kuishi na kuzishika amri kumi za MUNGU kikamilifu,dini inayofundisha hukumu na haki za MUNGU, dini inayofundisha unabii wa kweli wa neno la MUNGU na dini inayofundisha ufufuo wa wenye haki pale kristo ataporudi akiwa na jopo la malaika ni SEVENTH DAY ADVENTIST CHURCH(S.D.A).
Njoo ujifunze neno la MUNGU katika kweli achana na madhehebu ya miujiza hayo yatakupoteza mpendwa,mshukuru MUNGU kwa kukupa mwanga wa kuyatambua hayo.
THE SECOND COMING OF JESUS CHRIST IS SURELY,BE PREPARED & BE READY
Je! Ni SDA gani unaizungumzia..?? SDA hii ambayo muanzilishi wake alipinga Utatu Mtakatifu mpaka kufikia hatua GC kuficha nyaraka za EGW ziliponga Utatu Mtakatifu..?? Au uulikuwa hujui..???Mungu akufunulie siku moja, ili uwe ushuhuda mbele za watu.