Hivi hizi dini za Kikristo ni za kweli?

unapoishia kujilinda wewe ndo MUNGU anapoanzia
 
Hivi majambia yanahifadhiwa wapi vile!! .......... alimwoa mke wa mwanae.

Nijuavyo mimi tatizo si dini ila ni tabia za watu tena za makusudi. Kwa mfano wanaosema wakimwua mkristo wanapata thawabu kwa mungu, ni kweli mungu aliagiza tuuane?
 
Dini zote hazina ukweli wowote..!
 
Sema hufahamu tu.. Waislam nao wanamakando kando yao huko mpaka wanauana..! Shia na Sunni..! Au haujawahi kusikia..?!
 
Mafarisayo yakisabato lazima tuyavamie popote yalipo
 
Tena utasikua "sisi watu wa mungu, mpendwa nk." nani mtu wa shetani? Nani siyo mpendwa. Kufarakana huku ndiko ambako hata waislamu huwaona wakristo wamekosa mwelekeo kiimani. Nachukia tabia hii hadi basi. Matokeo yake wanaibuka hadi akina Tito. Nadhani dini pekee na iliyosahihi ni kutii amri 10 za mungu tu. Mengine ni biashara.
 
Hakuna din inaitwa ukristo ilikuja miaka 300 baada ya Yesu kuondoka ulimweguni, hata jina Jesus ni jina la kilatin yeye hajawahi kulisikia kwenye maisha hata huo ukristo hajawahi kuusikia wala kuutamka kwa sababu yeye alikiwa anaitwa messiah ambapo ikitafsiriwa kigiriki cristos na kwa kingereza crist kwa kiswahili mpakwa mafuta...so neno wakrist lilitoka kwa wayahud kama kuwakebehi watu walikuwa wanamfata yesu (kwa jina la sasa) jina lake halisi aliitwa Yeshua au Isso kwa kiibrania hajawahi kulisikia jina Jesus na wala sio jina la kiibrania fatilia utajua jina hili linatoka wapi pili hajawahi kusikia dini inatwa ukristo na tatu hajawahi kusikia wala kutamka kitu kinaitwa biblia...neno biblia limetokana na neno la kigirikia bublus maana yake kitabu ndio maana hata neno biblia halipo ndani ya biblia...ki ujumla ukristo ni man made religion yesu hakuwa kufundisha wala kutamka neno ukiristo...waliota idea ya ukiristo ni wagirik na warumi kuingiza iman zao kwa kivuli cha ukiristo kasomen story za miungu ya kirumi Tamuz na wengineo.!..kanisa catolich lipo miaka 300 kabla hata ya yesu
 
Basi kila mmoja akijua ukweli wa mambo asimame yeye lakin najua ukamikifu na kutubu dhambi na kuziacha hakuna njia nyngine ya kuingia mbinguni uwe unaambudu kiss ww n SDA au mwislam kikubwa je, dhambi hutendi wengine wanajisifu kuwa kanisa lao nzuri lakn dhambi kibao jaribun kutafakari
 
Sisi tulio,kombolewa kwa damu ya Yesu hatuangaiki na dini za wanadamu,Yesu pekee ndio njia ya kweli na UZIMA,
 
Haya tuelezee na uislam pia. Allah ana uhusiano gani na Allat, almanat na al-uzza
Waraqa Bin naufal aliyemwambia Muhammad atakua mtume baada ya kukutana na kiumbe kule jabal hiraa ni nani
Mtume alimuoa bi Aisha akiwa na umri gani
Quran iliandikwa na nani
 
Uhuru bila mipaka ni wendawazimu!
 
πŸ˜€ πŸ˜€ kaaaazi kweli kweli..... Naona unashindwa kujibu ulichoulizwa.

Mungu Hakuleta dini unavodai, lakini wewe unatwambia dini yako Chadema na unadai kuwa Mungu wangu ndo kaileta hio dini. Sasa which is which?? Mbn uko taaban πŸ˜€ πŸ˜€

Kanzu ni vazi kama mavazi mengine yenye kustiri, ata padre anavaa kanzu.

Twambie dini yako ya Chadema mungu wake nani? Mungu nnaemuaminj mimi kaleta dini.
 
Nawapenda sana nyie watu mnao aminishwa vitu bila kufanya utafiti na ndio vitu vina iangamiza africa sababu hatutafiti...ALLAH ni jina Mungu ila kuna mtu akiandika kitabu chenye story hizo ambacho mnafundishwa sunday achool au makanisani naijua story yote yule jamaa alivyoi twist sababu anajua huwa mnawaamin sana bila kufanya tafati na lengo muendee kupotea nakupa elimu.!

Baada ya warumi na baadae walatin kuiteka iman ya ukrist jambo la kwanza ilikuwa ni kuitoa iman katika majina yake ya asili lugha aliyokuwa anaizungumza Yesu ni kiibreania sio kingereza lugha ya kiibrania na lugha ya kiarabu zinatofautiana kidogo katika matamshi hata kwenye majina ntakupa mfano
Yosef kwa kiibrania kiarabu anaitwa Yusuf walatin kwaita Joseph, Ibrahim kiarabu, Abraham kiibreania,yacobo kiibrania, Yacubu kiarabu walatin wakaita Jacob,Yohana kiibrenia Yahaya kiarabu wazungu wakaita John,Isso kiibrania,Issa kiarabu wazugu wakamuita Jesus...ukitaka elimu ya kwanini walikuwa wanatumia herufi J ni siku nyingine ila hiyo ndio siri ya kubadiki majina ya asili ya watu kupoteza uhalisia..

Sasa tukija kwenye swala la ALLAH ni jina la mwenyeziMungu kwa kiarabu na kwa kiebrania anaitwa ELLAH...had leo ndivyo inavyotamkwa na hata sehem ndogo ya lugha ya asili aliyokuwa anaiungumza Yesu kwa mujibu wa bible yesu alipokuwa msalabani alilia kwa kuita jina ELLAH,ELLAH hayo mengine spelling zake zijazishika na hata ukienda kuangakia bible ya kiarabu au yenye tafsiri ya kiarabu ndio jina wanalotumia kwa kutaja Mungu kwa kuita ALLAH...Yes maisha yake yote alitumia jina ELLAH sio God..kwanA halijui.!
 
Ukitaka dini ya kweli nenda wasabato...kwingine kote pasua kichwa....ukikuta dini inaruhusu kula nguruwe, kunywa pombe, kucheza kama diamond kanisani...jua hamna kitu hapo..umeliwa kekundu...kuwa msabato hakukuokoi ila ni gate way ya kusepa mbiguni ukikaza kwel kwel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…