Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Wamama wajasiriamali wanalia kila kona.
Wanapokwa mali za ndani kwa kutolipa madeni.
Je huu ni utaratibu?
Wanapokwa mali za ndani kwa kutolipa madeni.
Je huu ni utaratibu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania ni nchi ya wajinga inayotaliwa na kikundi cha wahuni (CCM). Kuna wengine nimeona jana wanalia kwa sababu kuna mtu anaitwa eti Mr Manguruwe kawatapeli fedha zao. Yaani huyo tapeli anajiita ni mfugaji wa nguruwe na unampa fedha zako ili ''akufugie'' nguruwe na faida anakulipa kila wiki tena fedha nyingi tu. Ni ule ule mchezo wa Mr Kuku au Ukulima wa Vanila. Narudia, Tanzania ni nchi ya mazoba kweli kweli.Wamama wajasiriamali wanalia kila kona.
Wanapokwa mali za ndani kwa kutolipa madeni.
Je huu ni utaratibu?
Autopilot ina nafuu. Nchi inaendeshwa kwa kikundi cha wahuni na matapeli na ukiwa mwenzao hawakugusi. Ole wako ujifanye kukemea uhalifu au utapeli, utakiona.Nchi iko kwenye autopilot.
Ni nini kifanyike ili mali zisiporwe na madeni yalipwe?Wanaporwa mali za ndani kwa kutolipa madeni.
Mtu akishindwa kulipa deni mpeleke mahamaniNi nini kifanyike ili mali zisiporwe na madeni yalipwe?
Maana tunataka muamala ukamilike pande zote, wa deni alipe na mkopeshaji alipwe. Wote wakopaji na wakopeshaji na wasimamizi wa mikopo ni wananchi wetu.... itakuwaje?
Sawa hiyo ni hatua mojawapo.... ila mwisho mwishoni tunataka tu mdaiwa alipe anachodaiwaMtu akishindwa kulipa deni mpeleke mahamani
Biashara ikigoma?Sawa hiyo ni hatua mojawapo.... ila mwisho mwishoni tunataka tu mdaiwa alipe anachodaiwa
Lipeni madeni ya watu.Wamama wajasiriamali wanalia kila kona.
Wanapokwa mali za ndani kwa kutolipa madeni.
Je huu ni utaratibu?
wasilie,Wamama wajasiriamali wanalia kila kona.
Wanapokwa mali za ndani kwa kutolipa madeni.
Je huu ni utaratibu?
Mkopeshaji kisheria anatakiwa kuchukua dhamana iliyotumika kuchukulia mkopo tu na si kitu kingine,hairuhusiwi kuchukua samani za mtu,ni kinyume Cha SheriaWamama wajasiriamali wanalia kila kona.
Wanapokwa mali za ndani kwa kutolipa madeni.
Je huu ni utaratibu?
Kukopa sherehe kulipa matanga🫣🫣🫣🫣🫣🫣🫣Wamama wajasiriamali wanalia kila kona.
Wanapokwa mali za ndani kwa kutolipa madeni.
Je huu ni utaratibu?