Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 36,315 Reaction score 104,500 Sep 16, 2026 #21 MAWEED said: Kuna mdau kauliza pale juu ngoma za kwenye masikio kazi yake nini😅 Click to expand... Alitaka ziwe za nini😂 Sinza kusikilizia mziki
MAWEED said: Kuna mdau kauliza pale juu ngoma za kwenye masikio kazi yake nini😅 Click to expand... Alitaka ziwe za nini😂 Sinza kusikilizia mziki
Gunner11 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2021 Posts 16,680 Reaction score 31,804 Sep 16, 2026 #22 Mtaniua leo 🤣🤣🤣 Kwamba??? 😂
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,405 Reaction score 138,158 Sep 16, 2026 #24 PAYE said: Wajuzi wa mambo naombeni nifahamisheni kuhusu haya mangoma kwenye minara huwa za kazi gani? View attachment 3671680 Click to expand... Hizo ni ngoma tu kama zile za band shuleni au jeshini. Usizitilie maanani hata kidogo. Wameziweka huko juu kama sehemu ya kuuenzi utamaduni wetu.
PAYE said: Wajuzi wa mambo naombeni nifahamisheni kuhusu haya mangoma kwenye minara huwa za kazi gani? View attachment 3671680 Click to expand... Hizo ni ngoma tu kama zile za band shuleni au jeshini. Usizitilie maanani hata kidogo. Wameziweka huko juu kama sehemu ya kuuenzi utamaduni wetu.