Hivi hizi pesa za magoli ya Simba na Yanga zilipitishwa kwenye bajeti ipi?

Acha maswali ambayo hata mtoto hawezi kuuliza.unafahamu Rais wetu alianza lini utumishi wa umma? Unafahamu amefanya kazi Taasisi ngapi? Amekuwa Waziri na mbunge kwa muda gani? Kwa hiyo kwa akili zako unafikiri hela hiyo anayoitoa mh Rais wetu mpendwa kutoa hamasa na kuleta morali kwa club na wachezaji wetu inaweza kumshinda? Unafikiri Hana hela hiyo? Kwani akitoa na kuwazawadia wachezaji na club zetu inazuia vipi yeye na serikali Yake kututumikia na kutupatia huduma watanzania? Lini ulisikia kuwa hospitali na shule zimefungwa kwa kukosa watumishi kwa kuwa Rais amewapa yanga au Simba zawadi?

Hujuwi kuwa michezo inachochewa secta ya utalii na biashara hapa nchini? Pesa na mabillioni mangapi yamewekezwa na wawekezaji katika michezo? Unafahamu Kodi kiasi gani inayokusanywa kutoka katika michezo? Unafahamu mabillioni mangapi yataingia katika benki za ndani ya nchi yetu pale club zetu zitakapo fanya vyema kimataifa? Hujuwi pesa ikiwepo ya kutosha benki Ina faida katika uchumi wetu? Hujuwi watu watakopa kupitia benki na kuongeza mzunguko wa fedha mitaani? Hujuwi watu watafungua biashara na kuongeza wigo wa Kodi? Hujuwi serikali utapata Kodi? Hujuwi fursa za ajira zitaongezeka kwa vijana kupitia michezo?

Hujuwi club zikifanya vyema zitapelekea biashara ya jezi kufanya vyema mitaani? Je hujuwi biashara hizi zitaongeza mapato ya kikodi?

Acha umbumbumbu wewe na kuandika tu mambo yasiyo ya msingi.mwache Rais wetu mzalendo na mchapa kazi aendelee kututumikia watanzania,Tunamuunga mkono na tupo tayari kumpa ushirikiano wetu
 
Umesahai kuweka namba ya simu ?
 
Haya ndo mambo yetu Watanzania kila kitu kujua, kupinga etc.

Yanga kufika Mbali ni Cheap advertisement, Nchi kama Rwanda zinatumia Bilioni zaidi ya 120 kuwa kwenye jezi ya Arsenal, ila Serikali yetu kutoa milioni kadhaa ni Nongwa.

yanga na simba wanavyoitangaza Nchi thamani yake ni Mabilioni sio kitu ambacho unaweza kukinunua kirahisi, Serikali kujipenyeza na yeye ni sahihi kabisa kuliko kuteketeza Mabilioni kujitangaza nje ya Nchi.
Umeongea vizuri sana. Asante sana ndugu yangu. Sahihi kabisa kwa mfano wa Rwanda..🙏🙏🙏.
 
Jibu swali hayo mengine baadaye. Nyie ndo darasani mlikuwa mnakwenda chaka kwa ujinga wenu. Swali liko wazi wewe unaanza kujibu swali linalokuka kichwani mwako
Unaonekana ni bingwa wakwenda OPP sana. Swali linahusu concept siyo blaablaa. Ni ujinga kuhoji Rais kutoa milioni 20 ya maendeleo halafu unaita swali. Issue ya kujadili ni impact ya fedha ktk maendeleo ya utali, uwekezaji, biashara na ajira kupitia michezo. Kasma ya Rais unaijua? Tuache ujuaji wa chekechea!🙏🙏🙏
 
Je, tuseme Tanzania tuna pesa nyingi ambazo hazina matumizi yoyote ?
Umewahi kusikia kwenye mambo ya fedha kitu kinaitwa kasma au kimalikia wanasema vote? Sasa zile alizokuwa anatamba nazo jiwe kwenye misafara ndo hizo maza anazitumia kwa style yake! Zote zinapitishwa na bunge kwa jina la "ukarimu"
 
Haya ndo mambo yetu Watanzania kila kitu kujua, kupinga etc.

Yanga kufika Mbali ni Cheap advertisement, Nchi kama Rwanda zinatumia Bilioni zaidi ya 120 kuwa kwenye jezi ya Arsenal, ila Serikali yetu kutoa milioni kadhaa ni Nongwa.

yanga na simba wanavyoitangaza Nchi thamani yake ni Mabilioni sio kitu ambacho unaweza kukinunua kirahisi, Serikali kujipenyeza na yeye ni sahihi kabisa kuliko kuteketeza Mabilioni kujitangaza nje ya Nchi.
Yanga kaitangaza nchi kwalipi ukilinganisha na ujumbe wa Visit Rwanda kwenye jezi za Arsenal,uoni kama ni vitu viwili tofauti? Sisi tunavivutio vingi kipi ambacho kimetangazwa kuputia Yanga.
 
Back
Top Bottom