Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 6,607
- 14,076
Aisee! Umenifungua macho bhasi! Sikujua kabisa!Ingia facebook ujionee maajabu ya dunia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee! Umenifungua macho bhasi! Sikujua kabisa!Ingia facebook ujionee maajabu ya dunia
Unaniweza?Ningekunasa kofi kama ningekuwa karibu yako [emoji35][emoji35]
Hatuna tatizo, hata uwe unatoka kwa wa Hadzabe. Kwenye kuongea tutaelewa ni lafudhi....tatizo linakuja kwenye KUANDIKA.Mara nyingi hizo R na L husababishwa na asili ya watu! Mfano watu wa Kanda ya Ziwa, kimsingi hawana L! Badala yake wana R tu!! Niretee ugari, Niretee Gwajima, nk.
Ukienda Dodoma, Iringa, nk huko hawana R! Badala yake wana L tu! Badala ya kutamka Iringa , wenyeji hutamka Ilinga! Dodoma nako kila neno lenye R, hugeuzwa na kuwa L! 'Napeleka malejesho', nk.
Mifano ni mingi, muda ni mchache.
Aibu yako mkuu, tena watu mnaokosea kwa mtindo huu, IQ zenu huwa ziko chini sana na mara nyingi huwa ni waropokaji pia mnajifanya wajuaji hasa kwenye masuala ya siasa na maendeleo uchwaraSawa kamanda. Kukosoana muhimu sana.
Nafikiri "nitakuwa" na "Nitakuwa" ni sawia. Hiyo ya kwanza nilichemsha.Ntakuwa,Nitakua au Nitakuwa?
Kwani mkuu, umeishia kidato cha ngapi![emoji848]Hii imekuwa kama jadi yetu watanzania. Kupenda kubisha tunaposahihishwa. Mwanzisha thread ana point nzuri sana. Haya maneno uliyosahihisha mara nyingi yanaweza kuvumilika lakini siyo hili kosa la R na L.
Nafikiri hili ni swala(nimeambiwa ni suala eti) la lahaja za kiswahili. Hili sio tatizo, ila ni kwamba lahaja ziko tofauti kutokana na sehemu.Yapo makosa yanayovumika kwenye kiswahili. Hivi unajua Zanzibar wanaandika ''mwengine'' na sisi tunaandika ''mwingine''?
Nimestaafu jeshi, huu ni mwaka wa pili sasaUnaniweza?
Ndio maana unang'ang'ana humu kuwatetea wenzako kwenye haya maswala ya R na L.Nimestaafu jeshi, huu ni mwaka wa pili sasa
Natumai utakuwa umepata unafuu kwa kujipa moyo kuhusu IQ yangu kuwa ndogo. Sasa kwa IQ yako ya juu, nikukute unabomoa R na L zako.Aibu yako mkuu, tena watu mnaokosea kwa mtindo huu, IQ zenu huwa ziko chini sana na mara nyingi huwa ni waropokaji pia mnajifanya wajuaji hasa kwenye masuala ya siasa na maendeleo uchwara
Vilaza tupu.Hili limekuwa tatizo haswa. Sijui kama nahitaji kubadilisha mtazamo wangu juu ya hili ila watu wengi wanaochanganya herufi R na L huwa nawachukulia kama vilaza fulani hivi.
Kuna mwandishi unakuta ndani ya andiko kuna sehemu kaandika, say, mnara na mbele kidogo kwenye andika hilo hilo unakuta kaandika mnala. Sasa unajiuliza huyu anatutega wasomaji wake au?
Na kuna maneno mengi yanatumika siku hizi, baada ya kuuliza nikajua wanachomaanisha
Mfano,
ko == kwa hiyo
Make == maana yake
Waga == huwa(ga)
Kuna kijana nilikuta kaandika teachel badala ya teacher, nikachoka kabisa.
Na mwalimu wao FaizaFoxyUngana naye muanze darasa.
Kwenye lugha ya kingereza, kitendo cha kukosea matumizi ya L na R kinaleta ukakasi. Mfano; Tly badala ya Try
Lakini kwenye kiswahili hakuna shida, mambo ni yaleyale tu, tusikaze mafuvu, lugha yenyewe ni ya kwetu, acheni tuichalange tuwezavyo
Mfano: Madhala ~ madhara, kwani hapo kipi hakijaeleweka?
Mkuu...ivi unajielewa kweli?Kwenye lugha ya kingereza, kitendo cha kukosea matumizi ya L na R kinaleta ukakasi. Mfano; Tly badala ya Try
Lakini kwenye kiswahili hakuna shida, mambo ni yaleyale tu, tusikaze mafuvu, lugha yenyewe ni ya kwetu, acheni tuichalange tuwezavyo
Mfano: Madhala ~ madhara, kwani hapo kipi hakijaeleweka?
Wachanganye tena sana kwenye kuongea, hapo kinaeleweka. Kuandika ni ishu nyingine kabisa.Inategemea na nature ya watuuuu! Kuna makabila huchanganya sana L na R na kuchanganya H inayoambatana na alfabeti