Nina safari ya kama week mbili huko Boston marekani,nimejaribu ?
Kuna restaurants za vyakula vya Bongo Ila ni very expensive ugali unaouzwa huku bei cheap kule bei juu, huo wali ndio usiguse bei juu alafu ladha SIO ya huku hata Tambi ladha ya huku na HUKO hazifananiNina safari ya kama week mbili huko Boston marekani,nimejaribu kucheck vyakula vyao huko naona wanakula...
Bei ni za kawaida tu Mkuu😁🤣Kuna restaurants za vyakula vya Bongo Ila ni very expensive ugali unaouzwa huku bei cheap kule bei juu, huo wali ndio usiguse bei juu alafu ladha SIO ya huku hata Tambi ladha ya huku na HUKO hazifanani
Italy ya bonyokwa 🤣Unalalamika mikate je ungekuwepo huku Italy si ungekoma Kabisa huku Kila kitu kahawa mixer nganoView attachment 2909237
Beba kiloba cha unga wa sembe asee
ze fix is this..🤣Wakati jana nimetoka kula ugali na dagaa na mchicha☺️
Mzee Ngonyani....Marekani ni kubwa mno.Usidanganywe, vyakula vya kiswahili ni adimu kuvipata pia ni ghali Sana ,labda wali kidogo kwenye migahawa ya waasia ndo utapata