Hivi huko Marekani hawana misosi mingine zaidi ya mikate na jamii ya vyakula vya ngano?

Hivi huko Marekani hawana misosi mingine zaidi ya mikate na jamii ya vyakula vya ngano?

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Nina safari ya kama week mbili huko Boston marekani, nimejaribu kucheki vyakula vyao huko naona wanakula vyakula vyenye ngano zaidi na mimi sio mpenzi wa vyakula vyenye jamii ya ngano.

So nauliza wenye experiences za huko, hakuna misosi mingine zaidi ya hiyo kama ugali,wali etc?
 
Nyumbani huli Chapati....wala mandazi......Sambusa......Wewe ni Mwendo wa wali tu......Hata Marekani utaupata......choices za vyakula ni kubwa mno Mkuu...
 
Unalalamika mikate je ungekuwepo huku Italy si ungekoma Kabisa huku Kila kitu kahawa mixer ngano
20240210_194734.jpg
 
Nina safari ya kama week mbili huko Boston marekani,nimejaribu kucheck vyakula vyao huko naona wanakula...
Kuna restaurants za vyakula vya Bongo Ila ni very expensive ugali unaouzwa huku bei cheap kule bei juu, huo wali ndio usiguse bei juu alafu ladha SIO ya huku hata Tambi ladha ya huku na HUKO hazifanani
 
Back
Top Bottom