Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asisahau pia kuchukua na kilo zake kadhaa za dagaa kauzu. Hiyo mikate awaachie wenyewe.Beba kiloba cha unga wa sembe asee
BirianiUsidanganywe, vyakula vya kiswahili ni adimu kuvipata pia ni ghali Sana ,labda wali kidogo kwenye migahawa ya waasia ndo utapata
Cassavaleaves , Simaanishi havipatikani, inategemeana na eneo unaloishi kama Kuna watu wengi wa jamii yako kama vile watu wa kutoka East Africa, kunakuwa Kuna urahisi Fulani wa kupata hivyo vya kula. Mfano Kuna jamii kubwa za wahindi, wasomali na watu wa west Africa hasa Ghana na nigeria.. unakuta Wana migahawa yao, sisi East Africa wakenya ndo wengi Marekani nandio tunawategemea kuleta vitu angalau vina fafanana na vya nyumbani ,lakini bado ni gharama .Kuna eneo unajikuta wewe tu ndo mwafrika au wakuhesabu huwezi pata vyakula vya kiafrika mpaka usafiri au uagizeMzee Ngonyani....Marekani ni kubwa mno.
Njoo Texas/Dallas/ Arlington ....Nenda Fiesta.
Nenda Hongkong Market.
Utapata karibu kila kitu Mkuu.
Uko wapi wewe...
Huko hakuna masoko kama buguruni au stereo.Ingawa sio niliyepost.....Sio fix kabisa Mkuu...
Hii ni African Market jirani yangu.....Dagaa....Sembe......Kisamvu.......Samaki wa kukausha........products nyingi za Kenya/Nigeria/Ghana zinapatikana hapa...
View attachment 2909249
Eli's African Market | African Food Store in McKinney
View attachment 2909250
Eli’s African Market
https://elisafricanmarket.com
Eli’s African Market | African Food Store in McKinney. Areas Covered. Collin County. Eli's African Market. 1434 N. Central Expy #102. McKinney. Texas. 75070. +1 214-842-8121Directions.
Products · About Us · Contact Us · Our Team
Ndiyo maana Wamarekani wana miili mikubwa?Wanakula burger, mara pizza, mara keki, mara mikate, wale hata chapati na maandazi wanakula. Ngano inatumika sana. Sisi huku mwendo ni ugali tu, tukibadilisha ni wali au ndizi ongeza na makande jumlisha na viazi na mihogo
Tafuta migahawa ya Wachina au Waspanish.Nina safari ya kama week mbili huko Boston marekani, nimejaribu kucheki vyakula vyao huko naona wanakula vyakula vyenye ngano zaidi na mimi sio mpenzi wa vyakula vyenye jamii ya ngano.
So nauliza wenye experiences za huko, hakuna misosi mingine zaidi ya hiyo kama ugali,wali etc?
Maandazi yako bostonHii Chai wapi mandazi
Kuna restaurants za vyakula vya Bongo Ila ni very expensive ugali unaouzwa huku bei cheap kule bei juu, huo wali ndio usiguse bei juu alafu ladha SIO ya huku hata Tambi ladha ya huku na HUKO hazifanani
Ya mbuHii ni chai
nyama zipoNina safari ya kama week mbili huko Boston marekani, nimejaribu kucheki vyakula vyao huko naona wanakula vyakula vyenye ngano zaidi na mimi sio mpenzi wa vyakula vyenye jamii ya ngano.
So nauliza wenye experiences za huko, hakuna misosi mingine zaidi ya hiyo kama ugali,wali etc?
Kila Aina ya chakula ipo...Nina safari ya kama week mbili huko Boston marekani, nimejaribu kucheki vyakula vyao huko naona wanakula vyakula vyenye ngano zaidi na mimi sio mpenzi wa vyakula vyenye jamii ya ngano.
So nauliza wenye experiences za huko, hakuna misosi mingine zaidi ya hiyo kama ugali,wali etc?
Shukrani mkuuMkuu Boston kuna restaurant zaidi ya 10 wanazouza misosi ya Kiafrica, kuna moja inaitwa Karibu Restaurant ipo Waltham, hapo misosi ya kiswahili ipo ya kutosha na bei zao ni rafiki kuanzia $8-20
View attachment 2909723![]()
Google Maps
Find local businesses, view maps and get driving directions in Google Maps.maps.google.com