Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

Vijana kutwaa jamii forum...pesa hamna ni umbeya tuu.,,hakuna serikali itakayo pambana nq familia yako bila ww kujitoa.,,kila kitu kinawezekana...pesa lazima iwe pesa..wenye akil ni wengi hivyo bas ili upate pesa wanahitajika wajanja...
 
Nilikuwa huko dsm miaka kadhaa imepita,ndugu yangu nilifikia kwake akanipeleka nicheck mjeiii wake hapo mbweni,wakati huo hata Magu hajaingia,
Alinambia kiwanja pekee 37M.

Banaaaa,nilijiona natakiwa kuongeza bidii sababu hata walioko abrodiiio hawafit,hongereni sana watz wenzetu.

Sasa hivi nahisi imeongezeka maradufu.
 
Viwanja vya mbweni watu walishavispot kitambo sana tokea longtime
Maeneo mazuri yote watu vigogo walishajipigia mapande wanavutana tu ......kuitana

Ova
 
Kuna watu Wana fikra za ajabu sana......yaani unakosaje raha kwa kuwa tu unaishi kwenye makazi duni kwa kujiringanisha na wengine.........??
 
Usiuze wewe jenga kutokana na uwezo wako, watoto wako ndo watafaidi hicho kiwanja na watakushukuru kwa kununua huko.
Usiwe na mawazo ya kuwaza vitu vidogo uwezo wako huo mdogo, do big things.

Tena sisi ambao hatuna pesa, tuna pesa za kudunduliza ndo tunafanya big things.

Miaka mi 3 ilopita nilikutana na ramani mtandaoni nikasema nitajenga nyumba kama hii, ile ramani ni kaliiiiiii balaa akijenga tajiri akakufulu.
2021 hiyo nikaweka msingi tu, nikatulia wakaongea weee ,oh kujidai hii nyumba ataiwezea wapi? Nyumba kubwa kama kanisa yetu macho msingi utamaliza miaka 20🀣 nyumba ina kona kama barabara πŸ˜…
Mungu sio ldi juzi nikaenda nikanyanyua nikaipiga lenta mbili, ninavyoongea muda huu majirani hawanisalimii.

Soon naezeka afu natulia niwape nafasi ya kukaa vikao tena. Nahitaji bati kama 150. Maana kutokana na ile design zinakatwa sana.
Sina haraka nikipata laki 5 nafanya kidogo. Hela za kufanya kwa mkupuo sina ila lazima nifike malengo, haijalishi itachukua miaka mingapi.

Sasa wewe umeweza nunua kiwanja mil 32 utashindwa kujenga nyumba nzuri kisa majirani ji mataita?
Unatakiwa kuishi na hao hao la muhimu tafuta ramani nzuri.

Sisi ambao tunadunduliza ndo tunafanya vitu vikali usiogope. Kula kutokana na urefu wa kamba yako.

Mimi sijawahi kuwaza vitu vidogo ningekuwa na hela kama ninavyoona watu wanachezea hela ningefanyaga vitu vikubwa.

N.b usijinyime ukala vibaya kisa unaserv kwa ajili ya kujenga, kula vizuri fanya mazoezi, kunywa maji mengi sana, tumbo mdo tutaenda nalo kaburini, nyumba na magari vitabaki vikigombaniwa dunia.

Mbinguni hakuna hotel.
 
Milioni 70 ni pesa ndogo sana kujenga nyumba kwa sasa, ukiniambia pagale nitaakuelewa!!
Nondo 12 mm huku nilipo ni karibu 23000, saruji 16000 shilingi
 

Hawakusalimii kwa nini? Utaishi kwa shida sana hapo
 
Niunganishe na hao jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…