[emoji23][emoji23]Kuna mtu huku jf alishawahi kuweka Uzi analalamika. Yeye kajenga nyumba yake alafu kaizungushia fensi. Ila jirani yake kaja kujenga ghorofa, akiwa kibarazani kwake anayaona yote yanayoendelea kwa jamaa [emoji28][emoji28][emoji28]
Labda ulaya ya buzaKwanza kabisa tumpongeze mama Doctor Samia kwa kutuwezesha watanzania kujenga nyumba zenye sifa duniani kiasi kuwa ulaya wanatuonea wivu.
Na pia si kuna kambi ya T pii diefuu hapo karibu au nachanganya mamboNiko maeneo hayohayo.
Usiuze wewe jenga kutokana na uwezo wako, watoto wako ndo watafaidi hicho kiwanja na watakushukuru kwa kununua huko.
Usiwe na mawazo ya kuwaza vitu vidogo uwezo wako huo mdogo, do big things.
Tena sisi ambao hatuna pesa, tuna pesa za kudunduliza ndo tunafanya big things.
Miaka mi 3 ilopita nilikutana na ramani mtandaoni nikasema nitajenga nyumba kama hii, ile ramani ni kaliiiiiii balaa akijenga tajiri akakufulu.
2021 hiyo nikaweka msingi tu, nikatulia wakaongea weee ,oh kujidai hii nyumba ataiwezea wapi? Nyumba kubwa kama kanisa yetu macho msingi utamaliza miaka 20🤣 nyumba ina kona kama barabara 😅
Mungu sio ldi juzi nikaenda nikanyanyua nikaipiga lenta mbili, ninavyoongea muda huu majirani hawanisalimii.
Soon naezeka afu natulia niwape nafasi ya kukaa vikao tena. Nahitaji bati kama 150. Maana kutokana na ile design zinakatwa sana.
Sina haraka nikipata laki 5 nafanya kidogo. Hela za kufanya kwa mkupuo sina ila lazima nifike malengo, haijalishi itachukua miaka mingapi.
Sasa wewe umeweza nunua kiwanja mil 32 utashindwa kujenga nyumba nzuri kisa majirani ji mataita?
Unatakiwa kuishi na hao hao la muhimu tafuta ramani nzuri.
Sisi ambao tunadunduliza ndo tunafanya vitu vikali usiogope. Kula kutokana na urefu wa kamba yako.
Mimi sijawahi kuwaza vitu vidogo ningekuwa na hela kama ninavyoona watu wanachezea hela ningefanyaga vitu vikubwa.
N.b usijinyime ukala vibaya kisa unaserv kwa ajili ya kujenga, kula vizuri fanya mazoezi, kunywa maji mengi sana, tumbo mdo tutaenda nalo kaburini, nyumba na magari vitabaki vikigombaniwa dunia.
Mbinguni hakuna hotel.
Kivule nina site hapo mkuu, karibu na hospital ya wilaya!View attachment 2955679
kuna hiki kiwanja hapa kipo... karibia na kitunda, kivule kilomita chache ukiwa unatokea banana.... kina ukubwa wa MITA 25*30 kinahitaji 25m tu...!
View attachment 2955685urefu wake ni kuanzia hiyo nguzo u nayo iona hadi ile nguzo ya juu kule ya umeme...
Chanika kule ndio wachaga wamejaa huko Sasa!Kama mtoa mada ni mchaga anataka akae maeneo ya Mbweni na wachaga wenzake, karibu na na barabara ya kwenda kaskazini, halafu unamshauri aende Chanika kote huko
Noma sana!Habari za Sabato Wakuu!
Wiki nzima hii nilikuwa huku Mbweni, ninakijiplot changu. Sasa kwa hali niliyoikuta nimejikuta ninakata tamaa.
Aiseeh! Hawa majirani zangu sio Pouwa. Hii mijengo walioidondosha na wanaoidondosha sio Pouwa! Unaweza ukadhani upo kwenye filamu za kinaijeria.
Hapa nashauriwa niuze hiki kiwanja kwa sababu pesa ya kujenga vyuma kama vile haiwezekaniki bila kuwa aidha mwekezaji, Fisadi, muuza madawa, mfanyabiashara wa madini, Mwanasiasa mlafi, mzee wa dili haramu na katili, mzee wa kuzamisha wavuni mipira iliyokufa na Watu wa aina hiyo.
Magari yanayopita huku ni magari mazito, Chris Lukosi huita madungu jeshi.
Hivi kweli hawa wanaojenga huku Mbweni ni Watanzania kweli? Maana umaskini wa nchi yetu na hizi nyumba huku ni mbingu na ardhi.
Santeni
We koma tu hapoYupo mtaa wa pili kutoka kiwanja changu kilipo.
Buza kwa matajiri au sioUza kiwanja uhamie Buza mkuu
Noma sana!
Ukijenga nyumba ya kawaida,utakuwa umechafua mtaa.Kunidhulumu hawawezi.
Ila nahisi nitatia aibu na kuaibisga huu mtaa.
Nitaishije na familia yangu katikati ya haya majengo
Buxa jijiniBuza kwa matajiri au sio
Ukijenga nyumba ya kawaida,utakuwa umechafua mtaa.
Maana ukinunua kiwanja 100M basi sharti ujenge nyumba ya 200M na zaidi.
Uza kiwanja hamia Kitunda kwa wakurya wenzio hutajutaHabari za Sabato Wakuu!
Wiki nzima hii nilikuwa huku Mbweni, ninakijiplot changu. Sasa kwa hali niliyoikuta nimejikuta ninakata tamaa.
Aiseeh! Hawa majirani zangu sio Pouwa. Hii mijengo walioidondosha na wanaoidondosha sio Pouwa! Unaweza ukadhani upo kwenye filamu za kinaijeria.
Hapa nashauriwa niuze hiki kiwanja kwa sababu pesa ya kujenga vyuma kama vile haiwezekaniki bila kuwa aidha mwekezaji, Fisadi, muuza madawa, mfanyabiashara wa madini, Mwanasiasa mlafi, mzee wa dili haramu na katili, mzee wa kuzamisha wavuni mipira iliyokufa na Watu wa aina hiyo.
Magari yanayopita huku ni magari mazito, Chris Lukosi huita madungu jeshi.
Hivi kweli hawa wanaojenga huku Mbweni ni Watanzania kweli? Maana umaskini wa nchi yetu na hizi nyumba huku ni mbingu na ardhi.
Santeni
Kwa bahati nzuro hao wanaojenga hizo ghorofa kwa fedha chafu huko wanastafu wakiwa 65, wanaongezewa muda mpaka 70 years, wakija kuhamia huko miguu haiwezi panda gorofani, wanaishia chini house boy analala juu.Habari za Sabato Wakuu!
Wiki nzima hii nilikuwa huku Mbweni, ninakijiplot changu. Sasa kwa hali niliyoikuta nimejikuta ninakata tamaa.
Aiseeh! Hawa majirani zangu sio Pouwa. Hii mijengo walioidondosha na wanaoidondosha sio Pouwa! Unaweza ukadhani upo kwenye filamu za kinaijeria.
Hapa nashauriwa niuze hiki kiwanja kwa sababu pesa ya kujenga vyuma kama vile haiwezekaniki bila kuwa aidha mwekezaji, Fisadi, muuza madawa, mfanyabiashara wa madini, Mwanasiasa mlafi, mzee wa dili haramu na katili, mzee wa kuzamisha wavuni mipira iliyokufa na Watu wa aina hiyo.
Magari yanayopita huku ni magari mazito, Chris Lukosi huita madungu jeshi.
Hivi kweli hawa wanaojenga huku Mbweni ni Watanzania kweli? Maana umaskini wa nchi yetu na hizi nyumba huku ni mbingu na ardhi.
Santeni
Kwa bahati nzuro hao wanaojenga hizo ghorofa kwa fedha chafu huko wanastafu wakiwa 65, wanaongezewa muda mpaka 70 years, wakija kuhamia huko miguu haiwezi panda gorofani, wanaishia chini house boy analala juu.
Wanakufa na kuzikwa na kuachiwa watu wakitumbua.

Picha wapiHabari za Sabato Wakuu!