Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

Ile kinyerezi wanapaita kwa mbunge kuna mijengo ya watu utadhani ni majengo ya halmashauri ila barabara sasa 🚮
 
Ndo maeneo wanaoishi maraisi wa nchi hii na viongozi wengine wakubwa wa mataifa mengine.

Zingatia neno MARAISI wa Tanzania na viongozi wengine wadogo wadogo wamejaa huko.
 
Sasa ndege binafsi na mbuga za wanyama vinahusiana nini, nenda kawaulize hao unaoona wana uwezo wa kumiliki ndege binafsi kwanini hawamiliki, au tayari una majibu yako kichwani
Ndio ujue kutofautisha sasa
 
We Jenga huko uwapelekee mkeo wa mkule nyama
 
Kutofautisha nini sasa mbona kama umebadili mada, mbuga za wanyama na ndege binafsi vinahusiana nini, hebu fafanua vizuri hapo
Jibu umeshalipata ila unajaribu kuruka ruka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…