Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

Mkuu unajua bei za viwanja kweli? Kule kwa Mama viwanja vingi vikubwa vinakaribia ekari moja ,anzia kona ya Mama pale hadi kona ya kwenda baharini ,lile eneo la bara bara ya kwanza hadi ya 6 viwanja ni vikubwa sana ,si chini ya 500m.
Jamaa alisema kiwanja ukubwa wa 35kwa 40 jkt,kiwanja cha 500m hakuna labda kiwe eka,kule kwa mama vile ni special kesi hata tasisi zinazunguka na lazima uwe mzito
 
Mwaka 1998 kariakoo hakukuwa na KIWANJA kinachouzwa plain na hata ukirudi 1988 pia hakukuwa na kiwanja kariakoo kinachouzwa plain
Mwananyamala yenyewe acha magomeni viwanja plain vilianza kuuzwa miaka ya 60
Hata hizo squatter area unaziona Katikati ya jiji like Tandale keko nk viwanja vilipatikana kuanzia miaka ya 70
miaka ya 98 ni juzi sana na bado kariakoo ilikuwa juu japo nyumba za miti udongo(zilipigwa plasta na Cement zilikuwa nyingi) maghorofa machache
Labda useme alipata BANDA kwa bei nafuu mana miaka hiyo wamiliki wenywe halisi wengi walikuwa wapo hai hvyo alimpata mtu mwenye BANDA lake akataka kumuuzia kwa bei nafuu lakini kwa wakati huo pesa ilikuwa nyingi na huyo jamaa yako lazima alikuwa vizuri laki i si kwa pesa ndogo
Ilikuwa kununua nyumba kkoo ilikuwa lazima uwe kibopa kweli kweli 7bu nyumba moja ukiuza kkoo miaka hiyo ya 98 ulikuwa unaweza kununu nyumba mbili mpk tatu maeneo ya mwananyamala kinondoni au magomeni
K.koo kuna nyumba tulikuwa tunaishi iliuzwa 23 million.....ilikuwa mwaka 2003
 
Mbweni ipi uswahilini? Mie siamini wallah.
Haha mdogo wangu jaza mafuta uje utembee ujionee au kama hauna gari funga safari nenda Makumbusho au Simu 2000, chukua daladala za Mbweni shuka kituo kinaitwa Miti Mitatu ingia ndani ndani halafu urudi hapa ulete mrejesho, kwanza kuanzia tu pale barabarani utakaposhuka mandhari yake yatakuonesha ni uswahilini
 
Habari za Sabato Wakuu!

Wiki nzima hii nilikuwa huku Mbweni, ninakijiplot changu. Sasa kwa hali niliyoikuta nimejikuta ninakata tamaa.

Aiseeh! Hawa majirani zangu sio Pouwa. Hii mijengo walioidondosha na wanaoidondosha sio Pouwa! Unaweza ukadhani upo kwenye filamu za kinaijeria.

Hapa nashauriwa niuze hiki kiwanja kwa sababu pesa ya kujenga vyuma kama vile haiwezekaniki bila kuwa aidha mwekezaji, Fisadi, muuza madawa, mfanyabiashara wa madini, Mwanasiasa mlafi, mzee wa dili haramu na katili, mzee wa kuzamisha wavuni mipira iliyokufa na Watu wa aina hiyo.

Magari yanayopita huku ni magari mazito, Chris Lukosi huita madungu jeshi.

Hivi kweli hawa wanaojenga huku Mbweni ni Watanzania kweli? Maana umaskini wa nchi yetu na hizi nyumba huku ni mbingu na ardhi.

Santeni
Hebu fanya mpango kajenge mavurunza. Hapo paache paongezeke thamani uuze.
 
Hakuna kitu kama hiçho na haitokaa itokee.

Masaki ni distance chache Sana kwenda City center.

Master plan ya Darisalama tulishaiharibu, kukaa mbali na City center ni tatizo.

Kutumia masaa mawili ndani ya mji mmoja barabarani ni upuuzi.

Hata unipe free accommodation siwezi kukaa Mbweni never.
Watu wengi wanapita ile njia ya chini hadi wanaenda kutokea city center ile huwa haina foleni sana
 
Kuna jamaa angu anajilaumu hadi leo hii kushindwa kununua Kiwanja Kariakoo miaka ya 98, anasema alipata mtu anataka kumuuzia bei nzuri lakini alikataa.

Leo hii 2024 huwezi kumudu gharama ya Kiwanja Kariakoo 🙌
Mkuu kariakoo kuna viwanja!? Nijuavyo mimi unanunua jengo la zamani unavunja na kujenga jipya la kwako!
 
Hakuna kitu kama hiçho na haitokaa itokee.

Masaki ni distance chache Sana kwenda City center.

Master plan ya Darisalama tulishaiharibu, kukaa mbali na City center ni tatizo.

Kutumia masaa mawili ndani ya mji mmoja barabarani ni upuuzi.

Hata unipe free accommodation siwezi kukaa Mbweni never.
Ni upuuzi tu wa mamlaka zenu ila nchi za wenzetu wenye utimamu wapo watu wanaishi moro na wanafanya kazi Dar na kila siku wanawahi makazini in minutes.
 
Sehemu kama hiyo ukijenga Kibanda utapewa ujumbe wa nyumba kumi au Mwenyekiti wa serikali ya mtaa maana utaonekana una muda wa kufuatilia mambo ya watu,
Mkuu angalia sana nyumba yako isije kua ya mfano mbaya kwa wageni Yaan wakifika hapo wanaambiwa utaona nyumba ndogo chafu chafu 😂,
Uza hapo njoo Kigamboni ule upepo wa bahari bila bughza
Pale mtaa wa malindi estate (Mbweni),Mwenyekiti wa mtaa Ni yule mkurugenzi mstaafu wa TBC Clement Mshana.

Unaweza ukapata picha halisi.
 
Mbweni ina Mitaa mitano tu, Mbweni (wengi wanapaita Geza), Malindi (ndio huko wengi wanapaita JKT), Mpiji, Teta na Maputo basi, hakuna sehemu inaitwa Mbweni Kijijini, Mtaa wa Mbweni mostly ni uswahilini

Mbweni Kijijini ni pale center wanapogeuzia magari ya Makumbusho-Mbweni ,Pale walipojazana wapemba/Mamwinyi ukienda Mbele kuna kamto kamepakana na kambi ya Jeshi - Kiembeni ,Pale hapajapimwa ni slum.
 
Back
Top Bottom