dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Jamaa Yuko na Mambo ya kiswahili sna khaa eti ansema boss anamfatilia na. Kwamba yey ni alwatani mtaani"inamuuma kisa ni bosi na hana company alafu mimi surbodnate tu kampani kibao na Ina watu wenye uwezo kuniliko kwahiyo meza yetu huwa nachafukaa balaaaa mavinyaj ya gharama nikiingia viwanja Mimi ni alwatan kuliko yeye."
ππ
Wewe mwenyewe una uswahili mwingi kuliko huyo boss wako.
Una kampani mbovu na bado unaiona nzuri kwako.
Yani ni mswahili kichizi, dah hata usome namna gani kama umelelewa kwenye mazingira ya kishenzi utakuwa hivyo hivyo tu.Jamaa Yuko na Mambo ya kiswahili sna khaa eti ansema boss anamfatilia na. Kwamba yey ni alwatani mtaani
Boss hanuniwiJamaa Yuko na Mambo ya kiswahili sna khaa eti ansema boss anamfatilia na. Kwamba yey ni alwatani mtaani
Kama inafikia hatua mpaka anaulizia watu kwamba "jamaa Jana alikuwa anapigia wapi mitungi" inamaanisha yey ndiyo ananifatilia sana sasa nashangaa kivipi unasema mimi ndiyo tatizo? Yeye tatizo lake hulioni hapo?Kbsaa yaani yey ndio tatuzo na Kama anasema anamzid uwezo na uwajibikaji kwanin Basi asingeteuliwa yeye kuwa boss wao jamaa miyeyusho sna na dharau anayo
Aisee sina ufala kama wako wa kumyenyekea bosi tena nje yamuda wa kazi ilhali sijaharibu kazi yake. Wewe edelea tu kuwa chawa wa mabosi mzee utapandishwa cheo very soon, nimekaa paleee.......Yani ni mswahili kichizi, dah hata usome namna gani kama umelelewa kwenye mazingira ya kishenzi utakuwa hivyo hivyo tu.
Wewe ndio ulianza kwa hiyo tulia unyolewe.Kama inafikia hatua mpaka anaulizia watu kwamba "jamaa Jana alikuwa anapigia wapi mitungi" inamaanisha yey ndiyo ananifatilia sana sasa nashangaa kivipi unasema mimi ndiyo tatizo? Yeye tatizo lake hulioni hapo?
Acha ujinga wewePole Kaka najua unayopitia kama inawezekana tuwasiliane PM mkuu kuna jambo tushauriane
Mkuu Maji Matitu tumekukosea nini mbona umetuandama hivyo?Wasalimie Mbagala Saku na Maji Matitu huko.
Hahah utanyookaHaya mambo magumu sana Mkuu. Nipo na co-worker wangu na ni junior kwangu ila mshamba sana nafanya kazi mimi yeye anakimbilia kwa boss kuripoti na anasema kafanya yeye. Jana nimwahi zangu mapema ananiuliza vp mzee kuna shida gani mbona umewahi sana, nikamjibu kwani tunapangiana muda kuingia kazini hakujibu kitu. Kweli mchawi sio lazima aloge.
Imewakilisha maeneo mengi yenye uswahili. Samahani mkuu kama unaishi hukoMkuu Maji Matitu tumekukosea nini mbona umetuandama hivyo?
Ofisi boss anauliza yule alikuwa anakunywa wapi jana duuh hatari sana hiyoDuuh, Sisi wengine ma boss ndio walikuwa wanatupeleka viwanja 5 Star + kutupiga mitungi na kutununulia mademu wakali. Kweli dunia uwanja wa fujo,
Tukirudi ofisini ni mwendo wa kazi kazi kama weekend hatukuonana vile
... hako kakituo kapo kijijini? ... yaani hata pisi kali ni za kuhesabu, kiasi boss anamtaka huyohuyo na subordinates nao hapohapo! ... halafu wote wanajiona WAMEFIKA!Kwanza mnaliwaje eneo ambalo na boss analewa? Ndiyo bar pekee mtaani kwenu?
Hamna ofisi hapoOfisi boss anauliza yule alikuwa anakunywa wapi jana duuh hatari sana hiyo
Ahaaa haaa. Uchawa kwani kuna mtu kaenda kukushtaki kwa bosi wewe umetafuta ligi ya wazi na yeye pambana acha kulia.Aisee sina ufala kama wako wa kumyenyekea bosi tena nje yamuda wa kazi ilhali sijaharibu kazi yake. Wewe edelea tu kuwa chawa wa mabosi mzee utapandishwa cheo very soon, nimekaa paleee.......
Mnaagana ana insist 'see you tomorrow MORNING'Duuh, Sisi wengine ma boss ndio walikuwa wanatupeleka viwanja 5 Star + kutupiga mitungi na kutununulia mademu wakali. Kweli dunia uwanja wa fujo,
Tukirudi ofisini ni mwendo wa kazi kazi kama weekend hatukuonana vile