ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 7,637
- 20,676
Jamani habarini wana jf kuna kitu kinanitatiza kidogo kwa huyu mwanamke hivyo nahitaji uzoefu kwa wanawake na wanaume walio oa na kuishi na wanawake wenye mimba.
Ni kwamba mm nina mke tumeishi vizuri tu lakini ndani ya wiki tatu zilizo pita kujinunisha bila sababu,majibu ya hovyo ndani yakaanza,kiburi,gubu vikaanza ndani,hata haki ya kitandani nikaanza kunyimwa, tena ananiepuka na ukimsogelea na ukamgusa unakuwa ugomvi.
Baada ya kuona vimezidi nikataka nimpe likizo kidogo ya kumrudisha nyumbani kwao ili wamfundishe namna ya kuishi na mme.
Lakini kabla sijachukua maamuzi hayo nikaamua nimshirikishe dada yangu ambaye tuna ewana sana,akaniuliza umesha mpima mimba hilo swali lilinishangaza sana nikamuuliza iwapo kama kuna uhusiano wa mwanamke kubeba mimba na kuwa na dharau ndani ya nyumba.
Akanijibu kuwa huwa kuna mimba zingine mwanamke akiibeba huwa anamchukia sana mme wake hivyo kila anapo muona anamuona kama kero,hivyo nimvumilie tu na niwe na moyo wa kujizuia mimba ikisha komaa hiyo hali huwa inaisha atarudi kwenye hali yake ya kawaida.
Kwakweli sikuridhika na majibu ya dada nikaamua nimpigie na mama kumuuliza hilo jambo na yeye akanipa majibu hayo hayo kama ya dada,baada ya hapo ikabidi niende kumpima mimba ni kweli nikakuta ana mimba ya wiki 3.
Sasa nahitaji mawazo ya wanawake ambao walisha beba mimba na wanaume wenye familia nione iwapo hiyo hali kweli huwa kuna kipindi inatokeaga au huyu mwana mke anataka kuniletea mapichapicha?
Maana kiukweli huyu mwanamke amejaa maudhi sio poa bila kujizuia unaweza kuta umesha mtandika hata mabanzi kiukweli anaudhi.