Hivi huwa kuna mimba huwa zinamfanya mwanamke kuwa na visirani, hasira na dharau dhidi ya mme wake?

Hivi huwa kuna mimba huwa zinamfanya mwanamke kuwa na visirani, hasira na dharau dhidi ya mme wake?

Utatimua wangapi? na huyo utakayekuja kumpata yeye atakua 100% kama unavyotaka wewe?
Wewe huna mapungufu yako? unajua kua ni mangapi anakuvumilia? Huu ni muda wako wakusimama kama kiongozi wa familia.
Kabla ya kumuuliza dada na mama nilidhani wenda huyu mwana mke ameanza dharau kama wanawake wengi wa kisasa hivyo nilitaka kufanya maamuzi ya kumfundisha ili awe na adabu.
Ila baada ya kueleweshwa na mm nimeelewa vizuri kuleta dama hapa jukwaani ni kutaka kubadilishana mawazo na uzoefu tu.
 
Kama ni hivyo ni sawa,ila hapo umepata somo kua usichukue maamuzi kwa haraka sana,angalia chanzo cha tatizo kwanza.
 
Hiyo ipo sana mkuu Kuna wengine akibeba mimba inakuwa inapelekea kuwachukia watu flan flan Kuna wengine akibeba mimba anakuwa anabagua vyakula

Kuna mwingine akibeba mimba hakikisha gunia la mkaa ndani haliishi kwan bila kutafuna mkaa ndani hakulaliki

Hali kama hizo ni kawaida kwa Hawa wenzetu hasa wanapokua wanatimiza majukumu ya kuijaza dunia
 
Majibu uliyopewa na Dada yako na Mama yako ni sahihi kabisa,

Wewe ni kiongozi wa familia,unatakiwa u deal na kila situation kwenye familia yako,usipende sana kudeal na familia yako kwa kusikiliza sana maneno ya mitandaoni,

Kama hukuridhika na majibu ya Mama yako mzazi na Dada yako,je utaridhika na majibu ya watu ambao hata huwajui?

Kwakumalizia Hongera sana Baba kijacho.
Umenisaidia, nilitaka niulize ina maana hadi mama na dada yake hawaamini, ndo aje awaamini waja wa JF. LOL
 
Mimba nyingine huwa na chembechembe za roho za majini, hilo ni tatizo anaweza kukukaba usiku ukaja kuamka mbinguni. tuwasiliane usaidiwe laki 2 ya sadaka muhimu. anyway mkeo hapo alipo anabongo mbili na akili mbili so mvumilie akizidi mlete na sadaka tumalize kazi.
 
Nilii screenshot hii jana inaweza kukusaidia pia mtoa mada..!
Khanji kapoor
IMG_4658.jpeg
 
Back
Top Bottom