Hivi huwa kuna mimba huwa zinamfanya mwanamke kuwa na visirani, hasira na dharau dhidi ya mme wake?

Hivi huwa kuna mimba huwa zinamfanya mwanamke kuwa na visirani, hasira na dharau dhidi ya mme wake?

Mwaka 2001 kuna mpangaji alikuwa kwa kakangu. Mke wake akawa mimba ya kwanza yani ilikuwa ni mauaji. Jamaa alikuwa fund mechanic yaani mwanamke alikua akienda huko ni vita tupu yaan atakochokutana nacho ndo atamrushia jamaa hadi ilifka jamaa akaajiri mtu wa kulinda mke wake yani akitoka nyumbani anaelinda atoe taarifa mapema jamaa ale kona kwanza hadi wa leo mshikaji ana maalama mwili mzima. Nilikua mdogo sasa cjui lolote mimba ikamleta kwangu si akanipenda kama mdogo wake ila baadae kilichofauata nilishukuru mimba yake badae
 
Ngoja kwanza nicheke

Kuna mwanangu mmoja mke wake alikuwa na mimba. Jamaa akawa busy na kazi kurudi usiku, yaani akiwa anaongea na simu tu basi mke wake anajua jamaa anaongea na michepuko.
Kesho jamaa kapata barua anaitwa polisi, kwenda kumbe mlalamikaji na mke wake.

Kuna siku nikasajili namba mpya nikaenda kwa jamaa, nikamtext oya nipo nje hapa nakusubiria. Mke wake SI anajiona Ile sms aiseee, akajua Mimi ni michepuko.
Niliogeshwa matusi kinoma, mpaka nikaja kusema Mimi ni Fulani ndio ikawa pona yangu
 
Back
Top Bottom