Hivi huwa mnamaanisha nini kwa tabia hii enyi wanaume na wavulana?

Mambo shem
 
Ongea vizuri na mvulana wako abadilike
 
Kwanini hamuyaweki kwenye mfuko ukahifadhika!?, Mpka muyabebe mkononi wazi wazi. Kwani ukibeba kwenye mfuko hayawi matunda!??
Ila kweli hii Tabia alinifundisha Mke wangu wakati namtongoza pale kinondoni

Nilijifunza nikinunua kitu hata mama ni machunga ya Jero nayanunulia Mfuko wa buku napamia humo.
Inaleta heshima fulani kwa majirani.
 
Waache watoto mkuu hebu nitembelee kule
 
Nadhani inategemea na malezi ya huyo mwanaume wako, mimi tokea nipo mdogo mama akinituma vitu ananipa mfuko mzito wa kubebea vitu hataki vyakula vinavonunuliwa kwa ajili ya familia vionekane na watu mitaani, hio hali imenifanya hata sasa hivi nimekuwa mkubwa najitegemea bado naendeleza hio tabia ya ustaha wa vyakula.

Suala la pesa kupewa mkononi nalo linategemea na ustaarabu wa mtu tu, mm huwa najifanya kama nampa mkono then namshikisha kimya-kimya, hakuna mtu anayeona.
 
Ila kweli hii Tabia alinifundisha Mke wangu wakati namtongoza pale kinondoni

Nilijifunza nikinunua kitu hata mama ni machunga ya Jero nayanunulia Mfuko wa buku napamia humo.
Inaleta heshima fulani kwa majirani.
Umeona sasa mwambie wife anywe soda ulipeπŸ˜€
 
Hii ya majirani watajuaje anahudumia nimeielewa πŸ˜ƒ kwahy kumbe Huwa mnataka kuonekana na kusifiwa mnajua kuhudumia.
πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜Ž ni ukauzu tu hakuna cha sifa kwa majirani. Unakuta mtu mfukoni ana 2,000 sa anawaza atoe 500 ya mfuko wakat angepata machungwa au ndizi 2 au 3.

Anyway, inategemea pia mtu na mtu na ustaarabu wake anavyojiona
 
Kwanini wewe usitowe hiyo elfu kumi uwape wanaume mbele ya watu?
 
Mama Apewe maua yake kwa Hilo, angalau wewe sio mmoja wao. Maana imekuwa kasumba kwa wanaume wengi
 
πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜Ž ni ukauzu tu hakuna cha sifa kwa majirani. Unakuta mtu mfukoni ana 2,000 sa anawaza atoe 500 ya mfuko wakat angepata machungwa au ndizi 2 au 3.

Anyway, inategemea pia mtu na mtu na ustaarabu wake anavyojiona
Mifuko ipo Hadi ya 200, utakuta Kuna muda kabeba ndizi 2 na machungwa 3 barabara nzima vinamulikwa.
 
Msipopewa pesa mbele ya kadamnasi nyie ni vinyonga hamchelewi kusema jamaa hakuhudumii
Mashahidi lazima waone
 
Msipopewa pesa mbele ya kadamnasi nyie ni vinyonga hamchelewi kusema jamaa hakuhudumii
Mashahidi lazima waone
Eeehh kwahy unahudumia kwa ajili ya kadamnasi ione sio kutimiza wajibu wako!.πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…