Hivi huwa mnamaanisha nini kwa tabia hii enyi wanaume na wavulana?

Hela anaitoa mbele ya kadamnasi ili kuufahamisha umma kuwa wewe ni wake na kwamba mtu awaye yeyote asidiriki kukufuta.
Mbona mimi huwa ninatoka na demu wangu halafu nikifika mbele ya kadamnasi humpiga denda wakati nyumbani huwa asimpigi denda.
Wenzetu wazungu wanawatoa out wapenzi wao na kuwapiga kwa fimboyaukwaju mbele ya kadamnasi ile kila mtu ajue mmiliki wa demu husika.
 
Unaakili sana we dada..
 
ni ulimbukeni tu wa baadhi ya wanaume wenzangu, mi wangu huwa nampa tukiwa wenyewe, hili la kumpa mpenzi/mke kitu mbele ya kadamnasi ni aina flan ya udhalilishaji pia.
 
Tafuta pesa zako uache makasiriko
 
😂😂😂😂
Angekupa 100k au 1M ungetaka akupe kwa kuficha ficha?

Angekununulia gari je? Usingetaka alilete na mapulizo juu watu waone? Ungetaka asubiri
Watu walale ndio alilete?

Haya Extrovert mna swali lenu huku.
Mshamba huyo 😂 wanaume hatunaga habari. Yeye aseme kama buku 5 ndogo aongezewe ganji. Sasa mtu kubeba matunda mpaka uyafiche kwani ni bangi ile. Kama nimeyanunua karibu na nyumbani nabeba hivyo hivyo kwenye nailoni.

Ndio maana gari mnapewaga bila kadi!
 

Kweli ni ushamba flani hivi.
 
Shida sio kutoa elfu Tano kwamba ndogo , kwanini hata kamaa ni milioni haumpi mkiwa wenyewe mpka ukamnange mtu barabarani!?.
Hahahahah uamuzi tu, mwengine atakupa ndani ya gari kabla ya kushuka akishakufikisha stand. Wengine atakuminyia mkononi hata hutaona.
Shida inakuwa ni wewe kujistukia tu
 
Mbona kawaida tu kupeana fedha hadharani au unaogopa kukabwa na vibaka wakiona unakabidhiwa mwekundu?😅
 
Huwa unawatoa wapi wanaume wa hivyo wewe?
 
Bora wewe una moyo wa shukurani😂 mtu kama mtoa mada akawilii kusema mbona umenipa efu tano? Niongezee ni ndogo sana.
Ukipata mtu ana moyo hata wa kukupa hio nauli ni jambo la kushukuru.
 
Ndio ipo hivyo kama hutaki unaacha tu. Mbona za mpesa unahesabiaga hadharani🤣 na hulalamiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…