BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Anamkomoa wapiKwa hiyo anachosema dada etu ni kuwa kamanda kaamua kukomaa na mali za familia. Mbaya zaidi anakomoa tu ili huyu dada ateseke bila kujali watoto?
Sio haswakupata mtu ambae mna lengo moja nayo changamoto mkuu.kuna watu wabinafsi sana . hv mtu unakuwaje mchoyo hadi kwa damu yako eti.japo tunamuona joyce mbaya ila na huyu kamanda sio kabisa aaah
Malaya tu wewe.
Ataachaje na amezoea slope???Huyu mwanamke anakosea kuyaanika haya. Je vipi huyu anaeng'ang'ania mali za familia wakati watoto wanahitaji kuishi?
Kuna wanaume wanaachana na wake zao wanaacha magorofa for the sake of the kids.
Kwa hiyo aendelee kuvumilia tu kipigo, kulala na njaa, madeni ya wafanyakazi..wakati ana biashara zake ila mtu kazikalia tuDadangu Ndoa ni swala pana sana, kiukweli huwezi muanika MUme wako ivi tena Mwanaume Aliyekuzalisha!
Biashara gani zolizokaliwa, mbona maelezo ya Joyce yako wazi?Kwa hiyo aendelee kuvumilia tu kipigo, kulala na njaa, madeni ya wafanyakazi..wakati ana biashara zake ila mtu kazikalia tu
Nimecheka utafikiri mazuri.Komaaa Kamanda
KimagumashiHiki ni kisukuma mkuu?
Hakika anachofanya anakosea sana tena sana. Hatatui tatizo bali anajiaibisha kwamba upeo wake wa kufikiri ni mdogo, hajui kipi ni busara kusema mahali gani na wakati gani.unachokisema kina ukweli but kupost mtandaon sio solution tumeshajua ubaya wa kileo je ndio atatoa hela ya matumizi?Ilibid Joyce apambane kwa namna yoyote wanandugu,marafiki,wazazi ,wasimamizi wa ndoa,viongozi wa dini Na chama sidhani Kama hawa wote wameshindwa kusuluhisha!
Anahitaji msaada mkubwa wa ushauri. Kuachwa si jambo geni. Hatakuwa wa kwanza wala wa mwisho. Atumie akili ya kuzaliwa ambayo ni kuhamia nyumba ambayo ataweza kumudu kupunguza maisha ya copy n paste aishi katika uhalisia. Kikubwa zaidi aache kujidhalilisha kama mama wa watoto.Joyce ungetuwekea mtongozo wa Kileo insta wakati anakutongoza tungejua ku balane story. Kama uliuweka kuwa siri basi na haya yawe siri.
Jaribu kusoma tena kwa utulivu..nadhani utamuelewa na utaweza pangilia vizuri hoja zakoBiashara gani zolizokaliwa, mbona maelezo ya Joyce yako wazi?
mmnh ukishajua mimi ni wa design gani,kinachofuata ni kipi?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Kamanda yuko imara kuliko wakati wowote ule.Nimecheka utafikiri mazuri.
Nimejifunza usiruhusu kwa mwanamke kuhudumia familia. Mwanaume anajisahau na kuona kuwa sio wajibu wake.
Nimemuhurumia sana Joyce, nitampelekea japo mchele watoto wapate kula.
Komaa kamanda!!!
Kileo mode####
Hiyo ndo sifa ya mwanamme mwenye busara. Hapa utajibu nini kama MTU kaamua kujiachia bila hata kujali maadali ya ndoa. Tofauti Siku zote zipo. Tena yao cha mototo Ila watu wanakaa wanayazungumza kiafrika na hata pale wanapo kubali kutofautiana inakuwa kwa heshima. Na maranyingi jamii inaelewa. Hapa huyu mdada is toooomuchJamaa kauzu balaa na mapigo yote ya upande wa pili hajajibu chochote tu?