BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Anamkomoa wapiKwa hiyo anachosema dada etu ni kuwa kamanda kaamua kukomaa na mali za familia. Mbaya zaidi anakomoa tu ili huyu dada ateseke bila kujali watoto?
Kamanda ana uroho wa mali ambazo hajazitolea jasho
Alishwe
Alipiwe kodi ya nyumba
Bado aweke.jina lake kwenye hati ambazo hajui hata hela imetoka wapi
Wanaume halisi hawafanyi haya
Kamanda kachemsha ingawa last week nilimtetea ila.kwa haya too much