Hivi huyu dada Joyce Kiria ana shida gani?

Hivi huyu dada Joyce Kiria ana shida gani?

Kwa hiyo anachosema dada etu ni kuwa kamanda kaamua kukomaa na mali za familia. Mbaya zaidi anakomoa tu ili huyu dada ateseke bila kujali watoto?
Anamkomoa wapi

Kamanda ana uroho wa mali ambazo hajazitolea jasho

Alishwe

Alipiwe kodi ya nyumba

Bado aweke.jina lake kwenye hati ambazo hajui hata hela imetoka wapi


Wanaume halisi hawafanyi haya

Kamanda kachemsha ingawa last week nilimtetea ila.kwa haya too much
 
kupata mtu ambae mna lengo moja nayo changamoto mkuu.kuna watu wabinafsi sana . hv mtu unakuwaje mchoyo hadi kwa damu yako eti.japo tunamuona joyce mbaya ila na huyu kamanda sio kabisa aaah
Sio haswa

Ila ujinga ni kumweka signatory wakati anajua jamaa hata chumvi hanunui....
 
Huyu mwanamke anakosea kuyaanika haya. Je vipi huyu anaeng'ang'ania mali za familia wakati watoto wanahitaji kuishi?
Kuna wanaume wanaachana na wake zao wanaacha magorofa for the sake of the kids.
Ataachaje na amezoea slope???
 
Dadangu Ndoa ni swala pana sana, kiukweli huwezi muanika MUme wako ivi tena Mwanaume Aliyekuzalisha!
Kwa hiyo aendelee kuvumilia tu kipigo, kulala na njaa, madeni ya wafanyakazi..wakati ana biashara zake ila mtu kazikalia tu
 
Kwa hiyo aendelee kuvumilia tu kipigo, kulala na njaa, madeni ya wafanyakazi..wakati ana biashara zake ila mtu kazikalia tu
Biashara gani zolizokaliwa, mbona maelezo ya Joyce yako wazi?
 
Huyu ndio great thinker wa wanawake Tanzania sasa je wale wengine wakoje?. Kwa mwanamke yeyote wa kiafrika hawezi kuandika haya matapishi ya kiwango cha busness class.
 
unachokisema kina ukweli but kupost mtandaon sio solution tumeshajua ubaya wa kileo je ndio atatoa hela ya matumizi?Ilibid Joyce apambane kwa namna yoyote wanandugu,marafiki,wazazi ,wasimamizi wa ndoa,viongozi wa dini Na chama sidhani Kama hawa wote wameshindwa kusuluhisha!
Hakika anachofanya anakosea sana tena sana. Hatatui tatizo bali anajiaibisha kwamba upeo wake wa kufikiri ni mdogo, hajui kipi ni busara kusema mahali gani na wakati gani.

Ana wadhalilisha hadi watoto wao, anajionesha kwamba anakosa imani pale penye kutokubaliana kuhusu mambo ya pesa.
Hajui matumizi sahihi ya mitandao ya jamii na hajui thamani ya u-superstar wake au mumewe.

Wenzentu walio endelea wanapofunga ndoa au kuachana wanasainishana mkataba wa kutotoa hadharani siri za mwezio kuhusu yaliyotokea wakati wa maisha yenu ya ndoa, na kutotoa sababu halisi ya kuachana. Utawasikia tu "kila mtu aliona umefika wakati anahitaji kuwa na muda wa kuwa peke yake tukaona tutengane(tuachane)"
 
Mstory mrefuuu lakini PESA ndio chanzo minilijua kamanda anachepuka au kazaa nje kumbe PESA, umiliki wa mali na wa miradi alafu kabinafi haka kazee eti kanunua viwanja sasa mkiwa kwenye ndoa kila kitu ni chenu wawili hakuna cha mmoja hata mmiliki shindilia na boxer vyote ni vyenu[emoji23]
aisee kamanda take care huyo bibi anaweza kukurudisha kwa sir God mapema sana kisa mali
 
Joyce ungetuwekea mtongozo wa Kileo insta wakati anakutongoza tungejua ku balane story. Kama uliuweka kuwa siri basi na haya yawe siri.
Anahitaji msaada mkubwa wa ushauri. Kuachwa si jambo geni. Hatakuwa wa kwanza wala wa mwisho. Atumie akili ya kuzaliwa ambayo ni kuhamia nyumba ambayo ataweza kumudu kupunguza maisha ya copy n paste aishi katika uhalisia. Kikubwa zaidi aache kujidhalilisha kama mama wa watoto.
 
Nimecheka utafikiri mazuri.

Nimejifunza usiruhusu kwa mwanamke kuhudumia familia. Mwanaume anajisahau na kuona kuwa sio wajibu wake.

Nimemuhurumia sana Joyce, nitampelekea japo mchele watoto wapate kula.

Komaa kamanda!!!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Kamanda yuko imara kuliko wakati wowote ule.
Komaaa Kamanda Kamanda lazima awe mvumilivu kulea familia pesa za mwanaume wanachangia kutafuta ukombozi wa vimada
 
Jamaa kauzu balaa na mapigo yote ya upande wa pili hajajibu chochote tu?
Hiyo ndo sifa ya mwanamme mwenye busara. Hapa utajibu nini kama MTU kaamua kujiachia bila hata kujali maadali ya ndoa. Tofauti Siku zote zipo. Tena yao cha mototo Ila watu wanakaa wanayazungumza kiafrika na hata pale wanapo kubali kutofautiana inakuwa kwa heshima. Na maranyingi jamii inaelewa. Hapa huyu mdada is toooomuch
 
Tuache itikadi zetu Joyce ana makosa yake kutafuta solutions kupitia mitandaoni vile vile huyo Kilewo ktk projects zake especially maintaining Bank accounts na signatories ktk hizo accounts kwanini hakumshirikisha mkewe wakati mkewe alimshirikisha Kilewo
 
Back
Top Bottom