upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,078
- 4,504
Kwakua huyu jamaa ameonekana analazimisha abaki na mali zisizo zake, way out ni mahakama tu.Nimeanza na kusema 'huyu mwanamke anakosea'.......sasa hapa ndio inabidi mwanaume aoneshe tofauti yake na huyu mwanamke. Wagawane mali gani na huyo alikuwa analelewa tu. Mali za huyo dada mropokaji. Ukikubali kulelewa kuwa mpole.
Makanyaga hii ndoa yao inatuhusu nini sisi, walipotongozana hawakutangaza na kutushirikisha ili tuwaelewe, hawa watu wafunge safari waende kwao uchagani wayamalize, maswala ya ndoa huwa hayamalizwi na wazibua, wasambaa...(makabila ya pwani) hayo makabila yanatatua matatizo yao wenyewe hukohuko pwani wakienda huko nyumbani watakutana na wazee watawakemea wote wawili na kuwakanya maana tabia hii ya kuachana imeshakuwa kama fashion kila mtu anajisikia kujitoa kwa mwenziye sasa wamejitambulisha nyumbani wakaoana kwanini, tayari mmoja ana historia ya kuwa huyo ndiye mume wa 2 je atatafuta 3 tena ampeleke nyumbani? hakunaga hayo huo mchezo ni wa kimjini wala chips mayai.whichever way, bado anatakiwa arespond ili watu waweze kumwelewa
Mkuu utanisahihisha hapo mwanzo dada joi alisema mumewe hana kitu yeye ndie msimamiaji wa showNimeanza na kusema 'huyu mwanamke anakosea'.......sasa hapa ndio inabidi mwanaume aoneshe tofauti yake na huyu mwanamke. Wagawane mali gani na huyo alikuwa analelewa tu. Mali za huyo dada mropokaji. Ukikubali kulelewa kuwa mpole.
Na huo ndio ukweli, chaga this,chaga that
Tumesikia upanse wa Joyce tu. Huenda tungeaikia ya Kilewo tungefunga midomo kbs. Time will tellKwa hiyo anachosema dada etu ni kuwa kamanda kaamua kukomaa na mali za familia. Mbaya zaidi anakomoa tu ili huyu dada ateseke bila kujali watoto?
Wenye hekima wamemuelewa mwanaume ni kifuawhichever way, bado anatakiwa arespond ili watu waweze kumwelewa
Chadema ni immature men!
Huuu upuuzi wa mwanaume kugawana majukumu ya kuhudumia familia na mwanamke sijui aliuanzisha nani.
Dharau haziishi ndani.
Aisee hapa na wewe umekosea kufanya generalization "wanawake ni watu wabaya sana hawakumbukagi wema"!!! Si kweli mpendwa. Hii ni tabia tu ambayo yeyote aweza kuwa nayo.Hivi huyu kilewo hajafanya jambo lolote jema kwa Dada yetu au maisha yao yote amekuwa mkaidi..
Wanawake ni watu wabaya sana hawakumbukagi wema wanachopenda kusema ni mabaya ya mwanaume tu...
Hapo sasa anataka tuamini kwenye hiyo ndoa yeye alikuwa right muda wote wa mahusiano ila jamaa ndio mzinguaji
Kweli mkuu nakiri hayo makosa ila naomba itambulike hivyoAisee hapa na wewe umekosea kufanya generalization "wanawake ni watu wabaya sana hawakumbukagi wema"!!! Si kweli mpendwa. Hii ni tabia tu ambayo yeyote aweza kuwa nayo.
Huyu si Super woman? Mbona mama ntilie kitaa wanatunza familia za watu 10 bila support ya mume?soma vizuri uelewe amesema jamaa haachi hata shilingi kumi ya matumizi nyumbani watoto wanateseka wanahudumiwa na mke ...
Amejikaanga mwenyewe kwa kukomalia point ya hela. Sasa mtu anatoa hela zake akatumie we unaanza visa aisee. So kila akienda ATM ampelekee risiti home kuwa katoa sh. Flani tarehe flani.Hapo hakukuwa na mapenzi kabisa.hapo ni pesa tu zinazoleta dhahama ya yote Haya
Ila nyie ndo the worst mjueSisi wahaya huwa tukifikisha umri wa kuoa wazazi hasa mama zetu huwa wanatukalisha chini na kutuhasa kamwe tusioe mwanamke mchagga au mmachame uwa wanatwambia mabaya na madhaifu yao mengi kwenye ndoa ikiwemo hayo yanatokea kwenye familia ya kileo ndo maana ni Nadra sana kumuona muhaya achana na hawa wahaya wasiopajua bukoba,huwezi kukuta kamuoa mtu wa makabila haya....those people are too selfish..!!
Kwanini mnapenda kusingizia watoto?Hata mimi nawashangaa hawa wanaoangalia upande mmoja tu! Joyce na Kilewo inaonesha wana joint account na hela hazitoki bila saini ya wote, mume kauchuna haweki saini watoto wana njaa!