Hivi huyu Mkurugenzi aliyenunua gari la milioni 400 anajiamini nini?

Hivi huyu Mkurugenzi aliyenunua gari la milioni 400 anajiamini nini?

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Posts
1,769
Reaction score
1,393
Nafikiri hili saga mnalijua. ukimtazama anavyoongea inaonesha kuna kitu kipo nyuma yake.

Chanzo cha majibu hayo ni hoja hii ya Msukuma

Msukuma ni mjinga na anatumiwa na KANYASU kwenye hili SAGA. Rudi jimboni kwako katongoze walimu wa shule za msingi kama kawaida yako, peleka maji, boresha soko lako pale SUNGUSILA, pigania wananchi wako wapate hata kakiwanda kadogo ka mananasi, boresha NZELA atleast paeleweke ya GEITA MJINI acha KANYASU ayaongelee pambana NZELA INAKUFIA. Wewe ni nani mnafiki tu. Tunajua una chuki na mkuu wa mkoa sasa umeihamishia kwa mkurugenzi. Utavuliwa nguo brooo angalia sanaa madudu yako yato watu wanayo wanakulinda tu.

Kwa GEITA ninayoijua mil. 400 ni hela ya kupiga simu kwa wadau wa maendeleo ndani ya siku moja tu unaipata.

Na cha ajabu mtasikia mkurugenzi na mkuu wa mkoa wametolewa mana haka kajamaa kanafiki sanaa saaaaa
 
Yupo sawa acheni ushamba. Unadhani angenunua bajaji ndio tatizo la vituo vya afya lingekwishwa!?
Acheni wivu bana
Rule of law should be a cornerstone of our nation! Even the persons that have the power to be above the law by instruments, should observe the existence of such instruments as the law itself !

Wenye mamlaka wasitumie mapungufu ya kisheria yanayotoa mianya ya ubabe kuwa wababe. Huo ni ushamba uliopitiliza.
 
Na kilitolewa na serikali ya ccm.
Hata Kama Kuna kibali. Huyu mkurugenzi si Ni kajamba Nani tu. Kwani akipanda lx hafiki.

Kumbuka Kuna watu wagonjwa hawana dawa Wala huduma ya matibabu.

Kuna wanafunzi wanakaa chini hawana madawati Wala paa la kuaminika.

The guy is simply selfish, primitive and uncouth. Unafikiri ingekua enzi za mwalimu angekua bado Ni mkurugenzi? Ingekua yeye pamoja na waliotoa kibali wako lockup wanasubiri kesi ya uhujumu uchumi.

Waziri mkuu angeanza na huyu na huyo aliyetoa kibali.

Kwani Geita hakuna watumishi wenye madai yoyote?

Aadibishwe awe mfano. Hii sio Kenya ambako viongozi Ni manyang'au
 
Kwa hapa namuunga mkono king msukuma. Milioni 400 pesa mingi sana, ila itakuwa mkurugenzi amekulia family ya kitajiri, kabda akupanda Toyota Hilux pickup, uti wa mgongo unateguka.

Nakumbuka enzi za mwalimu wakurugenzi walitembelea Hilux, tu na hakuna mheshimiwa alivunjika mgongo au kupata tatizo la kiafya.
 
Mkurugenzi hawezi kutembelea gari ya kubebea majani ya ng'ombe bana na maboksi ya Stationeries!😂😂😂

Anfrei alisema wakurugenzi wote watachapwa Vieite na wana mpango wa kuwatandika Lexus
 
Mkurugenzi hawezi kutembelea gari ya kubebea majani ya ng'ombe bana na maboksi ya Stationeries!😂😂😂

Anfrei alisema wakurugenzi wote watachapwa Vieite na wana mpango wa kuwatandika Lexus
Naelewa mkurugenzi ni mtu mkubwa, lakini kwani akitembelea suzuki maruti atapungukiwa kitu gani bana.

Kuna mawaziri hapa sweden wanatembelea baiskeli za Batavuz na maisha yanasonga tu.
 
Hata Kama Kuna kibali. Huyu mkurugenzi si Ni kajamba Nani tu. Kwani akipanda lx hafiki.

Kumbuka Kuna watu wagonjwa hawana dawa Wala huduma ya matibabu.

Kuna wanafunzi wanakaa chini hawana madawati Wala paa la kuaminika.

The guy is simply selfish, primitive and uncouth. Unafikiri ingekua enzi za mwalimu angekua bado Ni mkurugenzi? Ingekua yeye pamoja na waliotoa kibali wako lockup wanasubiri kesi ya uhujumu uchumi.

Waziri mkuu angeanza na huyu na huyo aliyetoa kibali.

Kwani Geita hakuna watumishi wenye madai yoyote?

Aadibishwe awe mfano. Hii sio Kenya ambako viongozi Ni manyang'au

Hapa unataka kutuambia nini? Hiyo CCM ingelijua hayo yote wasingekzana kununua ndege kila mwaka kwa ajili ya matumizi yasiyofaa. Ina maana wasukuma hawajui nini kipaumbele cha wananchi?
 
Back
Top Bottom