Hivi huyu Mkurugenzi aliyenunua gari la milioni 400 anajiamini nini?

Hivi huyu Mkurugenzi aliyenunua gari la milioni 400 anajiamini nini?

Ndugu wanaoneana wivu tu hao watapatanishwa huenda msukuma hakupata bahasha ndiyo maana kelele nyingi
 
Naelewa mkurugenzi ni mtu mkubwa, lakini kwani akitembelea suzuki maruti atapungukiwa kitu gani bana.

Kuna mawaziri hapa sweden wanatembelea baiskeli za Batavuz na maisha yanasonga tu.
This is Africa bana, Lexus hajaumbiwa mbuzi wacha tumenye
 
Kwani yale ma VX ya kijani yamenunuliwa bei gani na kazi yake hasa ni ipi? Mwacheni Mkurugenzi afanye kazi siasa za majitaka bakini nazo huko ccm .
Nilikua naheshimu sana maudhui yako humu jf. Two wrongs does not make a right. Two wrongs exacerbates the problem.
 
Msukuma acha ushamba unadhani mkurugenzi asipotembelea VX geita itakua ulaya? Huo naona ni wivu tuu unakusumbua.
 
Nilikua naheshimu sana maudhui yako humu jf. Two wrongs does not make a right. Two wrongs exacerbates the problem.
Hata usipoyaheshimu mawazo yangu mkuu usipate shida. Msukuma anaonekana kuwa na chuki tuu. Mfumo wa viongozi wa serikali kutembelea mashangingi haukuanza leo wala jana. Hili lilishapigiwa kelele sana awamu iliyopita lakini ilishindikana wakati wa PM mizengo Pinda kama unakumbuka. Sasa leo huyo msukuma anakuja kumshupalia Huyo Mkurugenzi wakati halmashauri zingine na ofisi zingine za serikali bado yananunuliwa na serikali inajua is it fair?
 
Hata Kama Kuna kibali. Huyu mkurugenzi si Ni kajamba Nani tu. Kwani akipanda lx hafiki.

Kumbuka Kuna watu wagonjwa hawana dawa Wala huduma ya matibabu.

Kuna wanafunzi wanakaa chini hawana madawati Wala paa la kuaminika.

The guy is simply selfish, primitive and uncouth. Unafikiri ingekua enzi za mwalimu angekua bado Ni mkurugenzi? Ingekua yeye pamoja na waliotoa kibali wako lockup wanasubiri kesi ya uhujumu uchumi.

Waziri mkuu angeanza na huyu na huyo aliyetoa kibali.

Kwani Geita hakuna watumishi wenye madai yoyote?

Aadibishwe awe mfano. Hii sio Kenya ambako viongozi Ni manyang'au
Acheni hizo!kwani yeye ndy wa kwnza kununua hilo Gari mbona wizara na ofisi za halmashauri nyingi Wanazo
Mbona wakuu wa mikoa wengi wanatumia
Hivi mnafikiria alinunua ist au vitz,passo ndy changamoto zitaishaaa
Acha watu wajiachie serikali ina helaaaaa banaaa

Ova
 
Hata usipoyaheshimu mawazo yangu mkuu usipate shida. Msukuma anaonekana kuwa na chuki tuu. Mfumo wa viongozi wa serikali kutembelea mashangingi haukuanza leo wala jana. Hili lilishapigiwa kelele sana awamu iliyopita lakini ilishindikana wakati wa PM mizengo Pinda kama unakumbuka. Sasa leo huyo msukuma anakuja kumshupalia Huyo Mkurugenzi wakati halmashauri zingine na ofisi zingine za serikali bado yananunuliwa na serikali inajua is it fair?
Ana chuki binafsi huyu alafu haka kajamaa kakuda sana

Ova
 
Naelewa mkurugenzi ni mtu mkubwa, lakini kwani akitembelea suzuki maruti atapungukiwa kitu gani bana.

Kuna mawaziri hapa sweden wanatembelea baiskeli za Batavuz na maisha yanasonga tu.
Kwa hiyo nchi nzima yeye peke yake ndy atumie Maruti

Ova
 
Kwa hapa namuunga mkono king msukuma. Milioni 400 pesa mingi sana, ila itakuwa mkurugenzi amekulia family ya kitajiri, kabda akupanda Toyota Hilux pickup, uti wa mgongo unateguka.

Nakumbuka enzi za mwalimu wakurugenzi walitembelea Hilux, tu na hakuna mheshimiwa alivunjika mgongo au kupata tatizo la kiafya.
Mi naona ni vizuri alivyonunua iyo gari,je iyo hela angelituibia ingekuwaje,halafu ilo gari alilolinunua sio lake bado litabaki kuwa la Serikali
 
Hivi ni vibaya mtu kujiamini ...kama kafuata utaratibu na specification za gari nazo kafuata kwann aogope...thats hilarious
 
Msukuma ni mkuda anawachongea sana watu wengi kwa meko na hata RPC yule alihamishwa sababu yake ni mtu wa hovyo sana,
 
Naelewa mkurugenzi ni mtu mkubwa, lakini kwani akitembelea suzuki maruti atapungukiwa kitu gani bana.

Kuna mawaziri hapa sweden wanatembelea baiskeli za Batavuz na maisha yanasonga tu.
Waambie hao mwaziri wako huko Sweden waje kutembelea wanavijiji kule Bariadi, Uzogore na , Ngulyati (Mwanza) ktika miradi wanayofadhili.
Waje na huivyo vi batavuz, na waone kama watatoka navyo Mwanza hadi Bariadi,
 
Back
Top Bottom