Mwalimu alitembea kutoka Butiam mpka Mwanza mwaka 1968.BAada ya kumsikiliza Msukuma na mkulugenzi......katika hili naungana Msukuma.......
Na huu ndio msingi wa tatizo la taifa hili......kuwa Na viongozi wanajiwazia wenyewe kuliko wananchi.......
SIkumaanisha kuwa atembee kwa miguu kutekeleza majukumu yake!!.....Mwalimu alitembea kutoka Butiam mpka Mwanza mwaka 1968.
Nawe nakuhamasisha upate ingalau uDC ili utembelee vijiji kwa baiskeli, upate mziki wake.
Ukitembea na miguu kutekeleza majukumu yako unamfikiria jinsi mkulim anavoishi.SIkumaanisha kuwa atembee kwa miguu kutekeleza majukumu yake!!.....
Wewe bila shaka ulikuepo Kamati ya Manunuzi maana siyo kwa povu hiliMsukuma ni mjinga na anatumiwa na KANYASU kwenye hili SAGA. Rudi jimboni kwako katongoze walimu wa shule za msingi kama kawaida yako, peleka maji, boresha soko lako pale SUNGUSILA, pigania wananchi wako wapate hata kakiwanda kadogo ka mananasi, boresha NZELA atleast paeleweke ya GEITA MJINI acha KANYASU ayaongelee pambana NZELA INAKUFIA. Wewe ni nani mnafiki tu. Tunajua una chuki na mkuu wa mkoa sasa umeihamishia kwa mkurugenzi. Utavuliwa nguo brooo angalia sanaa madudu yako yato watu wanayo wanakulinda tu.
Kwa GEITA ninayoijua mil. 400 ni hela ya kupiga simu kwa wadau wa maendeleo ndani ya siku moja tu unaipata.
Na cha ajabu mtasikia mkurugenzi na mkuu wa mkoa wametolewa mana haka kajamaa kanafiki sanaa saaaaa
Nafikiri hili saga mnalijua. ukimtazama anavyoongea inaonesha kuna kitu kipo nyuma yake.
Chanzo cha majibu hayo ni hoja hii ya Msukuma
Nilichangia mku😂Wewe bila shaka ulikuepo Kamati ya Manunuzi maana siyo kwa povu hili
Msukuma ni mjinga na anatumiwa na KANYASU kwenye hili SAGA. Rudi jimboni kwako katongoze walimu wa shule za msingi kama kawaida yako, peleka maji, boresha soko lako pale SUNGUSILA, pigania wananchi wako wapate hata kakiwanda kadogo ka mananasi, boresha NZELA atleast paeleweke ya GEITA MJINI acha KANYASU ayaongelee pambana NZELA INAKUFIA. Wewe ni nani mnafiki tu. Tunajua una chuki na mkuu wa mkoa sasa umeihamishia kwa mkurugenzi. Utavuliwa nguo brooo angalia sanaa madudu yako yato watu wanayo wanakulinda tu.
Kwa GEITA ninayoijua mil. 400 ni hela ya kupiga simu kwa wadau wa maendeleo ndani ya siku moja tu unaipata.
Na cha ajabu mtasikia mkurugenzi na mkuu wa mkoa wametolewa mana haka kajamaa kanafiki sanaa saaaaa
Msukuma acha ushamba unadhani mkurugenzi asipotembelea VX geita itakua ulaya? Huo naona ni wivu tuu unakusumbua.
Pale hilux tu ya milioni 80 ilikuwa inatoshaKwa hapa namuunga mkono king msukuma. Milioni 400 pesa mingi sana, ila itakuwa mkurugenzi amekulia family ya kitajiri, kabda akupanda Toyota Hilux pickup, uti wa mgongo unateguka.
Nakumbuka enzi za mwalimu wakurugenzi walitembelea Hilux, tu na hakuna mheshimiwa alivunjika mgongo au kupata tatizo la kiafya.
Nafikiri hili saga mnalijua. ukimtazama anavyoongea inaonesha kuna kitu kipo nyuma yake.
Chanzo cha majibu hayo ni hoja hii ya Msukuma
Kumbe Msukuma anapewa motisha na sketi na huyo Kanyasi?Msukuma ni mjinga na anatumiwa na KANYASU kwenye hili SAGA..... rudi jimboni kwako katongoze walimu wa shule za msingi kama kawaida yako, peleka maji, boresha soko lako pale SUNGUSILA, pigania wananchi wako wapate hata kakiwanda kadogo ka mananasi, boresha NZELA atleast paeleweke ya GEITA MJINI acha KANYASU ayaongelee pambana NZELA INAKUFIA... Wewe ni nani mnafiki tu.... tunajua una chuki na mkuu wa mkoa sasa umeihamishia kwa mkurugenzi..... Utavuliwa nguo brooo angalia sanaa madudu yako yato watu wanayo wanakulinda tu.
Kwa GEITA ninayoijua mill.400 ni hela ya kupiga simu kwa wadau wa maendeleo ndani ya siku moja tu unaipata.
Na chaajabu mtasikia mkurugenzi na mkuu wa mkoa wametolewa mana haka kajamaa kanafiki sanaa saaaaa
Nilichangia mku😂
Hapana MSUKUMA kwa asemjua atamtetea sanaa ila ni mchafuu na mkigombania hata demu atahakikisha anakushusha tu.... Kuna kitu nyumaaa nawaaambia anagombana na walimu kisa demu aje kuwa MKURUGENZI
Hivi v8 bei yake ni milioni 400?