Hivi huyu Mkurugenzi aliyenunua gari la milioni 400 anajiamini nini?

Hivi huyu Mkurugenzi aliyenunua gari la milioni 400 anajiamini nini?

Acha watifuane.

Kizuri namba tutaisoma wote na kujua witiri na shufwa zote ni namba.
 
Naelewa mkurugenzi ni mtu mkubwa, lakini kwani akitembelea suzuki maruti atapungukiwa kitu gani bana.

Kuna mawaziri hapa sweden wanatembelea baiskeli za Batavuz na maisha yanasonga tu.
Ok, umetukumbusha kuwa uko stokhome, tumekuelewa🤪🤪🤪🤪🤪
 
Back
Top Bottom