Hakainde
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 2,400
- 2,884
Nafikiri hili saga mnalijua. ukimtazama anavyoongea inaonesha kuna kitu kipo nyuma yake.
![]()
Rais Magufuli amtumbua Mkurungenzi wa Geita kwa kununua gari la zaidi ya Tsh. Milioni 400
Kwenye hotuba yake baada ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri, Rais Magufuli amemuagiza Waziri wa TAMISEMI, Seleman Jafo kumsimamisha kazi Mkurungenzi wa Geita kwa kununua gari la zaidi ya Tsh. 400 milioni huku shule mkoani humo zikikosa madawati. Imeisha hiyo... ====== Kuhusu suala la...www.jamiiforums.com
Chanzo cha majibu hayo ni hoja hii ya Msukuma
Afutwe Kaz kabsa huyu aiseeePARAPANDAAAA ITALIAAA PARAPAANDAAA NILIWAHI ANDIKA HUKO NYUMA NAONAA JANA WAMEIPOKEAAA NA MKURUGENZI ATAKUWA AMEKWISHA NYAKULIWAAA KWENDA ..........NASUBIRIA ANAEFWATAAAA TUWENGINE TUNAMSIBA WA NDUGUKETU DK MINYEMBE MTUACHE TUZIKE KWANZA MTATUAMBIA MKURUGENZI KAPANGIWA WAPI
Mkulu yumo huku sema id yake bado hatujaijua. Huwezi kubaki salama Kama dhambi zako zitaletwa jf. Kingwalangwala amenielewa. Mzee wa kustarehe na vibombardier vya bustani za nchi.PARAPANDAAAA ITALIAAA PARAPAANDAAA NILIWAHI ANDIKA HUKO NYUMA NAONAA JANA WAMEIPOKEAAA NA MKURUGENZI ATAKUWA AMEKWISHA NYAKULIWAAA KWENDA ..........NASUBIRIA ANAEFWATAAAA TUWENGINE TUNAMSIBA WA NDUGUKETU DK MINYEMBE MTUACHE TUZIKE KWANZA MTATUAMBIA MKURUGENZI KAPANGIWA WAPI
Kwani hapo alipo sasa hivi anajihesabu anakazi?Afutwe Kaz kabsa huyu aiseee
We jamaa mkatiriiiiiii[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kuweni basi na adabu kwa wanaokuzidi umri. Tumecheza na mamako dogo
Yameshatimia asee Mkurugenzi V8 limemponzaMsukuma ni mjinga na anatumiwa na KANYASU kwenye hili SAGA. Rudi jimboni kwako katongoze walimu wa shule za msingi kama kawaida yako, peleka maji, boresha soko lako pale SUNGUSILA, pigania wananchi wako wapate hata kakiwanda kadogo ka mananasi, boresha NZELA atleast paeleweke ya GEITA MJINI acha KANYASU ayaongelee pambana NZELA INAKUFIA. Wewe ni nani mnafiki tu. Tunajua una chuki na mkuu wa mkoa sasa umeihamishia kwa mkurugenzi. Utavuliwa nguo brooo angalia sanaa madudu yako yato watu wanayo wanakulinda tu.
Kwa GEITA ninayoijua mil. 400 ni hela ya kupiga simu kwa wadau wa maendeleo ndani ya siku moja tu unaipata.
Na cha ajabu mtasikia mkurugenzi na mkuu wa mkoa wametolewa mana haka kajamaa kanafiki sanaa saaaaa
Duuuu, parody la mkurugenzu tumbuliwa.Msukuma ni mjinga na anatumiwa na KANYASU kwenye hili SAGA. Rudi jimboni kwako katongoze walimu wa shule za msingi kama kawaida yako, peleka maji, boresha soko lako pale SUNGUSILA, pigania wananchi wako wapate hata kakiwanda kadogo ka mananasi, boresha NZELA atleast paeleweke ya GEITA MJINI acha KANYASU ayaongelee pambana NZELA INAKUFIA. Wewe ni nani mnafiki tu. Tunajua una chuki na mkuu wa mkoa sasa umeihamishia kwa mkurugenzi. Utavuliwa nguo brooo angalia sanaa madudu yako yato watu wanayo wanakulinda tu.
Kwa GEITA ninayoijua mil. 400 ni hela ya kupiga simu kwa wadau wa maendeleo ndani ya siku moja tu unaipata.
Na cha ajabu mtasikia mkurugenzi na mkuu wa mkoa wametolewa mana haka kajamaa kanafiki sanaa saaaaa
Watanzania hatujielewi? Kwanini twashabikia matumizi ya ovyo?hivi hapo Geita hakuna Mambo au kero zilizohitaji kutatuliwa mfano kero za madawati,ukosefu wa madarasa,hospital,madeni ya watumishi mfano likizo,uhamisho,matibabu nk.Haikuwa busara kama angeondoa hizo kero ndipo afikirie gari la anasa??Msukuma ni mjinga na anatumiwa na KANYASU kwenye hili SAGA. Rudi jimboni kwako katongoze walimu wa shule za msingi kama kawaida yako, peleka maji, boresha soko lako pale SUNGUSILA, pigania wananchi wako wapate hata kakiwanda kadogo ka mananasi, boresha NZELA atleast paeleweke ya GEITA MJINI acha KANYASU ayaongelee pambana NZELA INAKUFIA. Wewe ni nani mnafiki tu. Tunajua una chuki na mkuu wa mkoa sasa umeihamishia kwa mkurugenzi. Utavuliwa nguo brooo angalia sanaa madudu yako yato watu wanayo wanakulinda tu.
Kwa GEITA ninayoijua mil. 400 ni hela ya kupiga simu kwa wadau wa maendeleo ndani ya siku moja tu unaipata.
Na cha ajabu mtasikia mkurugenzi na mkuu wa mkoa wametolewa mana haka kajamaa kanafiki sanaa saaaaa
Iwe mchato iwe nini,alipaswa kutafakari.!!!Ivi alienunua Gari ni nani hasa??? Nani aliidhiniisha fedha?? Mbona TEMESA sioni wakitajwa hapa...??
Ofisi ya PM vip mbona hamuwataji???
Jumba bovu mnamdondoshea mkurugenzi isijulikane kwamba huo ni mchakato na kulikua na uwezo wa kukataliwa mapema.
Kwann yeye peke ake??Iwe mchato iwe nini,alipaswa kutafakari.!!!
Maisha yana changamoto sana, kuijua kesho yako ndio mtihaniMaisha Subra
Mkurugenzi ni kabila gani? Dini Yake?Maisha yana changamoto sana, kuijua kesho yako ndio mtihani
Utambalisho wa majina inaonekana Ni mkiristu, lakin maswali yako yamelenga Nini kiongoziMkurugenzi ni kabila gani? Dini Yake?