Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 17,518
- 20,492
Nafikiri hili saga mnalijua. ukimtazama anavyoongea inaonesha kuna kitu kipo nyuma yake.
Chanzo cha majibu hayo ni hoja hii ya Msukuma
Huyu mbunge mpumbavu huyu! Inakuwaje anakuja kuzungumzia hoja za Geita mjini wakati yeye ni wa vijijini huko bush? Msukuma aache ushamba wa jiwe! Mkurugenzi mbona kaeleza vizuri tu! Anajadili hoja ambayo inamzidi kimo, hizo ni hoja za watu wenye akili!