Hivi huyu Mkurugenzi aliyenunua gari la milioni 400 anajiamini nini?

Wewe ndio mpumbavu mkuu.

Wakati wabunge wa chadema wanakemea matumizi wa haya magari si ulikuwa unauunga mkono pia?
Wewe ndio kapumbavu na kalofa, hujui kama Musukuma mwenyewe aliwaponda CHADEMA wakati wanapinga manunuzi ya magari ya bei kubwa? Sasa leo yeye amekuwa nani aje ampinge mkurugenzi? Wacha upumbavu wako binti tutakukeketa sisi! Mkurugenzi katekeleza sera za CCM sasa Musukuma analialia mini hapa?
 
Ndio maana hata hilo chama lenu linajifia taratibu!

Kwahiyo unachopinga wewe hapa ni nini sasa? Kama wabunge wako miaka yote wanapinga matumizi ya hayo magari selikalini kwamba yanaumiza wananchi kwa gharama,
Kwanini huoni hoja ya Msukuma hapo?

Shida yako wewe ubongo wako amekimbia nao Lisu kwenda kwa Ansterdam.
 
Mh hapa iko namna apa naona DED anaongea kwa kujiamini na dharau kabisa anyway Msukuma anaweza kuwa sahihi kwamba ana uchungu na maendeleo ya wana Geita ila pia its too late kuanza kulalama maana mpaka hilo gari limenunuliwa limepata baraka zote za CMT na Baraza la Madiwani DED sio mjinga anunue bila kupitia hizo process.
 
Na tatizo ukijiamini sana utaonekana unadharau.... Kama kafata hatua zote na haina makandokando kwann aoneshe hofu....
Mh hapa iko namna apa naona DED anaongea kwa kujiamini na dharau kabisa anyway Msukuma anaweza kuwa sahihi kwamba ana uchungu na maendeleo ya wana Geita ila pia its too late kuanza kulalama maana mpaka hilo gari limenunuliwa limepata baraka zote za CMT na Baraza la Madiwani DED sio mjinga anunue bila kupitia hizo process.
 
Wewe bila shaka ulikuepo Kamati ya Manunuzi maana siyo kwa povu hili
🤣🤣 binafsi sijaona tatizo la Msukuma kama Mbunge hapo anaplay role yake ishu hapa ninayoiona its too late maana kama ni gari ndio lishanunuliwa na DED ameonekana kuwa amepata vibali vyote na baraka za vikao vya Halmashauri mpk Ofisi ya Waziri Mkuu
 
Sema hiyo ni kwa vile ni ziro kilometers. Ila kama imetumika kwa miaka hata 5 nafikiri inagonga kwenye milioni 200 ikifika hapa bongo
Mkuu uliiwekea ndoto ya kuinunua, wekea mikakati na utaitekeleza tu ndoto yako.
 
Mi naloliona hapa Ded na Mp hawana maelewano. Ded anamdharau Mp kwa kuwa hajasoma kama yeye, kasahau kwamba nchi inaongozwa na wanasiasa. Jamaa anaongea kwa dharau bila kujua kwamba Musukuma ni prominent figure ktk nchi hii! Hahahaha pole Ded!
 
Msukuma ni mjinga na anatumiwa na KANYASU kwenye hili SAGA. Rudi jimboni kwako katongoze walimu wa shule za msingi kama kawaida yako, peleka maji, boresha soko lako pale SUNGUSILA, pigania wananchi wako wapate hata kakiwanda kadogo ka mananasi, boresha NZELA atleast paeleweke ya GEITA MJINI acha KANYASU ayaongelee pambana NZELA INAKUFIA. Wewe ni nani mnafiki tu. Tunajua una chuki na mkuu wa mkoa sasa umeihamishia kwa mkurugenzi. Utavuliwa nguo brooo angalia sanaa madudu yako yato watu wanayo wanakulinda tu.

Kwa GEITA ninayoijua mil. 400 ni hela ya kupiga simu kwa wadau wa maendeleo ndani ya siku moja tu unaipata.

Na cha ajabu mtasikia mkurugenzi na mkuu wa mkoa wametolewa mana haka kajamaa kanafiki sanaa saaaaa
Imetimia
 
Jiulize kwanini walivizia wengine wapo kwenye kampeni wakapitisha matumizi ya hizo ela? Nna wasiwasi wewe ni mmojawao wapiga hilo dili... Sio kwa barua hiyo
 
Yameshatimia mkuu kabaki mkuu wa mkoa na anafuta....

Msichokijua kuhusu MSUKUMA ni kwamba once ukiwa na ugomvii nae atafanya awezalo atakutoa na hua anafanikiwa siku zote....

RPC Geita kilichomkuta mnakijua na sasa ni RPC lindi unadhani kwann karudishwa madaraka yake
 
Lakini sababu mbona zipo wazi?
Kwani tumbua ya magu kaanzia kwa huyo?
Msukuma anasema yaliyowazi na kama kweli kwanini rais asifanye maamuzi?
 
Mi naloliona hapa Ded na Mp hawana maelewano. Ded anamdharau Mp kwa kuwa hajasoma kama yeye, kasahau kwamba nchi inaongozwa na wanasiasa. Jamaa anaongea kwa dharau bila kujua kwamba Musukuma ni prominent figure ktk nchi hii! Hahahaha pole Ded!
Yametimia
 
How Much Does the Toyota Land Cruiser Cost?​

The 2021 Toyota Land Cruiser has an $85,415 starting price. That’s higher than the starting prices of most rivals. On the other hand, the Land Cruiser’s top $87,745 trim is considerably less expensive than the top trims of every competitor.

Mkuu kwa exchange rate ya 1$=Tshs 2,320, gari ha $87,7745 gari hiyo kabla ya kodi ni Tshs 203,568,400.00 ikiwa huko huko iliko.
Kodi ya bongo ni almost 100% ya purchase price.
Hivyo ikifika bongo kodi ya TRA/Customs ni 203,568,400.

Hivyo hata ukiletewa hiyo gari hapa nchini na kusamehewa freight(kwa vile inaletwa na Dealer) utalipa Tshs 407,136,800.

Zamu yako kutamba mitaani na hela ya kodi!
Gari za serikali hazilipiwi kodi
 
Back
Top Bottom