Na kilitolewa na serikali ya CCM.kibal si kilitolewa
Rule of law should be a cornerstone of our nation! Even the persons that have the power to be above the law by instruments, should observe the existence of such instruments as the law itself !Yupo sawa acheni ushamba. Unadhani angenunua bajaji ndio tatizo la vituo vya afya lingekwishwa!?
Acheni wivu bana
Hata Kama Kuna kibali. Huyu mkurugenzi si Ni kajamba Nani tu. Kwani akipanda lx hafiki.Na kilitolewa na serikali ya ccm.
[emoji3][emoji3][emoji3]kumbe ukitaka kununua gari unawahusisha wizara ya ujenzi?
Anyway, hapo katumia vibaya pesa yetu...Geita na vumbi lote lile v8 la m460 la nini? hehehehheehe
Mkurugenzi hawezi kutembelea gari ya kubebea majani ya ng'ombe bana na maboksi ya Stationeries!πππKwa hapa namuunga mkono king msukuma. Milioni 400 pesa mingi sana, ila itakuwa mkurugenzi amekulia family ya kitajiri, kabda akupanda Toyota Hilux pickup, uti wa mgongo unateguka.
Nakumbuka enzi za mwalimu wakurugenzi walitembelea Hilux, tu na hakuna mheshimiwa alivunjika mgongo au kupata tatizo la kiafya.
Hakuna kawaida kina Msukuma huwa anasimama na raia wake, mara nyingi sana tu.Hiyo ni serikali ya ccm na tunajua serikali ya ccm ilivyo kwenye ufisadi.
NB: Hapo msukuma hajapewa 10% ndio unaona anapiga kelele.
Naelewa mkurugenzi ni mtu mkubwa, lakini kwani akitembelea suzuki maruti atapungukiwa kitu gani bana.Mkurugenzi hawezi kutembelea gari ya kubebea majani ya ng'ombe bana na maboksi ya Stationeries!πππ
Anfrei alisema wakurugenzi wote watachapwa Vieite na wana mpango wa kuwatandika Lexus
Hata Kama Kuna kibali. Huyu mkurugenzi si Ni kajamba Nani tu. Kwani akipanda lx hafiki.
Kumbuka Kuna watu wagonjwa hawana dawa Wala huduma ya matibabu.
Kuna wanafunzi wanakaa chini hawana madawati Wala paa la kuaminika.
The guy is simply selfish, primitive and uncouth. Unafikiri ingekua enzi za mwalimu angekua bado Ni mkurugenzi? Ingekua yeye pamoja na waliotoa kibali wako lockup wanasubiri kesi ya uhujumu uchumi.
Waziri mkuu angeanza na huyu na huyo aliyetoa kibali.
Kwani Geita hakuna watumishi wenye madai yoyote?
Aadibishwe awe mfano. Hii sio Kenya ambako viongozi Ni manyang'au
Miss Madeko. Agiza chips mayai. Natuma hela sasa hiv kwenye vodaHapa unataka kutuambia nini? Hiyo CCM ingelijua hayo yote wasingekzana kununua ndege kila mwaka kwa ajili ya matumizi yasiyofaa. Ina maana wasukuma hawajui nini kipaumbele cha wananchi?