dalalitz JF-Expert Member Joined Sep 6, 2013 Posts 3,476 Reaction score 2,087 Dec 11, 2020 #121 Acha watifuane. Kizuri namba tutaisoma wote na kujua witiri na shufwa zote ni namba.
Gama JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 13,264 Reaction score 4,747 Jan 1, 2021 #122 Rutunga M said: Nafikiri hili saga mnalijua. ukimtazama anavyoongea inaonesha kuna kitu kipo nyuma yake Click to expand... Kwanini unataka tumjadili mtu na si hoja⁉️
Rutunga M said: Nafikiri hili saga mnalijua. ukimtazama anavyoongea inaonesha kuna kitu kipo nyuma yake Click to expand... Kwanini unataka tumjadili mtu na si hoja⁉️
Gama JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 13,264 Reaction score 4,747 Jan 1, 2021 #123 Elungata said: Naelewa mkurugenzi ni mtu mkubwa, lakini kwani akitembelea suzuki maruti atapungukiwa kitu gani bana. Kuna mawaziri hapa sweden wanatembelea baiskeli za Batavuz na maisha yanasonga tu. Click to expand... Ok, umetukumbusha kuwa uko stokhome, tumekuelewa🤪🤪🤪🤪🤪
Elungata said: Naelewa mkurugenzi ni mtu mkubwa, lakini kwani akitembelea suzuki maruti atapungukiwa kitu gani bana. Kuna mawaziri hapa sweden wanatembelea baiskeli za Batavuz na maisha yanasonga tu. Click to expand... Ok, umetukumbusha kuwa uko stokhome, tumekuelewa🤪🤪🤪🤪🤪