Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Mimi hayo mambo ya yeye kutaka kutoka hayanihusu naongelea upande wa Lada yangu kwamba yeye ni mgonjwaBaba Swalehe Zumaridi ni maisha ya shida na umaskini ndo vimemfanya awe Zumaridi leo.Ni katika kutafuta solutions katika kutoutaka umaskini ndo leo ni Zumaridi. She is very very Smart. Kudos to her.
"Necessity is the mother of invention"
Mimi ninavyojua wenye Schizophrénie wanakuwa na hallucinations, wengi wanataka kukaa peke yao, wanakuwa wanawaona wengine labda ni wabaya.Wanakuwa kwenye dunia yao,Yaani anaweza hata akamchoma mtu kisu.Yaani in short wanakuwa ni watu wanajiona wapo kwenye insecurities.Mtu mwenye tatizo la akili si lazima ashindwe kufanya kazi
Mfano mtu tunayemwongelea hapa Ana bipolar disorder/ ama schizophrenia sijui kama unaifahamu sababu umesema umefanya kazi na wagonjwa basi unaifahamu
Tunamwona kabisa akiwa anaongea moja
1. Ana Flight of ideas
2. Circumstantially inaonekana
3. Bizzare talking / dressing pattern
4. Delusion of grandiose zipo za kutosha anazionyesha wazi wazi
5. Inflated self esteem
6. Ana racing thoughts nyingi mno
She is exuberant and so flamboyantly
Let us agree to disagree....Mimi ninavyojua wenye Schizophrénie wanakuwa na hallucinations, wengi wanataka kukaa peke yao, wanakuwa wanawaona wengine labda ni wabaya.Wanakuwa kwenye dunia yao,Yaani anaweza hata akamchoma mtu kisu.Yaani in short wanakuwa ni watu wanajiona wapo kwenye insecurities.
Sasa Zumaridi huyu anaependa kujichanganya na watu,anafanya kazi zake kama kawaida,kuhusu kusema kamuona Mungu ni ili tu waumini wake wamuamini na azidi kuvuta wengine. "SADAKA TAMU UJUE".
SHE IS A HUSTLER.
That will never happen,kuhustle hajaanza leo,katoka mbali.Huyu atakavyoanza kuonyesha negative symptoms tutakuepo hapa
Tuombeane uzima
Mimi nmesema tu akianza kuonyesha negative symptoms tutakuepo hapaThat will never happen,kuhustle hajaanza leo,katoka mbali.
We have two kinds of schizophrenic patientsMimi ninavyojua wenye Schizophrénie wanakuwa na hallucinations, wengi wanataka kukaa peke yao, wanakuwa wanawaona wengine labda ni wabaya.Wanakuwa kwenye dunia yao,Yaani anaweza hata akamchoma mtu kisu.Yaani in short wanakuwa ni watu wanajiona wapo kwenye insecurities.
Sasa Zumaridi huyu anaependa kujichanganya na watu,anafanya kazi zake kama kawaida,kuhusu kusema kamuona Mungu ni ili tu waumini wake wamuamini na azidi kuvuta wengine. "SADAKA TAMU UJUE".
SHE IS A HUSTLER.
Hata mimi ni tabibu, ila nimempuuzia na kuona kuwa ni njaa tu ya mafanikio ndo inayomsumbua.Ana akili timamu kabisa. Anajua anachotarajia na kaweka mikakati yake ili kufikia ndoto zake, lengo lake ni kupata watu wengi ipasavyo ,yeye kujulikana ili avute watu na sadaka ziongezeke. Fikiria anasema kumfufua Kanumba na Sajuki. Kalenga hayo majina coz anajua ni ma star hivyo atagusa watu weeengi. Niliangalia interview yake kuna sehemu alisema Dr alifanye C section kwa mama yake ili yeye azaliwe,Dr alikuwa peke yake na huyo mama Zuma kwenye chumba cha upasuaji. Uliona wapi Dr anakuwa peke yake na mama mjamzito tu wakati anafanya hii intervention?Ila majority wataamini.Mimi nmesema tu akianza kuonyesha negative symptoms tutakuepo hapa
Mambo yake ya kuhustle siyajui I think hujaelewa concern yangu mpaka Sasa mimi kama tabibu nmeona typically huyu mtu Ana shida Ana anahitaji msaada sina shida ya yeye kupata hela or whatever mimi mtu yeyote akija kwangu akiniambia ameongea na mungu sijui kaona nini that's a dangerous sign kwangu natakiwa nianza jiuliza anaumwa au ni just confabulations na haumwi basi
Ana akili zake vizuri tu,mwenzako yupo kazini.Huyu dada ameathirika kisaikolojia.
Arudishwe tu jela anatusumbua.Ana akili zake vizuri tu,mwenzako yupo kazini.
Hahahaha hadi umeshanijudge jinsi ninavyoishi na watu huku kwenye ulimwengu asilia!Kama. Ungekua ni mtu mwelewa na mstaarabu you could simply ask how is it possible that mental diseases are contagious
And you could be much curious to learn and understand lakini ndo much know Sasa ndugu yangu unajua yote na unafahamu yote
Sijui unaishije na watu huko
I am curious
Nenda wewe kama unapaona ni pazuri kuishi,Arudishwe tu jela anatusumbua.
Au unamwonea wivu anavyopata attention ?Maana baada ya kutoka jela umaarufu wake ndo umeongezeka,yeye anafurahia tu huko aliko. Pesa inazidi kuongezeka.Watu ni mtaji ujue.Arudishwe tu jela anatusumbua.
We have two kinds of schizophrenic patients
And on the other side we have the schizoaffective patient very different from schizophrenic patient and on two categories of schizophrenic patient we have other several categories that's is accordance with Dsm 5 not DSM 4
I am. Here talking professionally not maneno ya mtaani and note my point sina shida na yeye kupata hela or whatever
Have a good day