Hivi huyu mtu anayejiita Mfalme Zumaridi anatuchukuliaje?

Hivi huyu mtu anayejiita Mfalme Zumaridi anatuchukuliaje?

Baba Swalehe Zumaridi ni maisha ya shida na umaskini ndo vimemfanya awe Zumaridi leo.Ni katika kutafuta solutions katika kutoutaka umaskini ndo leo ni Zumaridi. She is very very Smart. Kudos to her.
"Necessity is the mother of invention"
Mimi hayo mambo ya yeye kutaka kutoka hayanihusu naongelea upande wa Lada yangu kwamba yeye ni mgonjwa

Mtu anaionyesha kabisa Grandiose na Erotomanic wazi wazi Tena za kitwango cha juu niseme yuko Sawa Hapana

Kama unaona yeye kajitoa ufahamu hayo ni ya kwako na tukubaliane kutokukubaliana na ibakie hivyo
 
Huyu atakavyoanza kuonyesha negative symptoms tutakuepo hapa

Tuombeane uzima
 
Mtu mwenye tatizo la akili si lazima ashindwe kufanya kazi
Mfano mtu tunayemwongelea hapa Ana bipolar disorder/ ama schizophrenia sijui kama unaifahamu sababu umesema umefanya kazi na wagonjwa basi unaifahamu
Tunamwona kabisa akiwa anaongea moja
1. Ana Flight of ideas
2. Circumstantially inaonekana
3. Bizzare talking / dressing pattern
4. Delusion of grandiose zipo za kutosha anazionyesha wazi wazi
5. Inflated self esteem
6. Ana racing thoughts nyingi mno

She is exuberant and so flamboyantly
Mimi ninavyojua wenye Schizophrénie wanakuwa na hallucinations, wengi wanataka kukaa peke yao, wanakuwa wanawaona wengine labda ni wabaya.Wanakuwa kwenye dunia yao,Yaani anaweza hata akamchoma mtu kisu.Yaani in short wanakuwa ni watu wanajiona wapo kwenye insecurities.
Sasa Zumaridi huyu anaependa kujichanganya na watu,anafanya kazi zake kama kawaida,kuhusu kusema kamuona Mungu ni ili tu waumini wake wamuamini na azidi kuvuta wengine. "SADAKA TAMU UJUE".
SHE IS A HUSTLER.
 
Let us agree to disagree....

I could talk more but not let us end here
 
That will never happen,kuhustle hajaanza leo,katoka mbali.
Mimi nmesema tu akianza kuonyesha negative symptoms tutakuepo hapa

Mambo yake ya kuhustle siyajui I think hujaelewa concern yangu mpaka Sasa mimi kama tabibu nmeona typically huyu mtu Ana shida Ana anahitaji msaada sina shida ya yeye kupata hela or whatever mimi mtu yeyote akija kwangu akiniambia ameongea na mungu sijui kaona nini that's a dangerous sign kwangu natakiwa nianza jiuliza anaumwa au ni just confabulations na haumwi basi
 
Mimi ninavyojua wenye Schizophrénie wanakuwa na hallucinations, wengi wanataka kukaa peke yao, wanakuwa wanawaona wengine labda ni wabaya.Wanakuwa kwenye dunia yao,Yaani anaweza hata akamchoma mtu kisu.Yaani in short wanakuwa ni watu wanajiona wapo kwenye insecurities.
Sasa Zumaridi huyu anaependa kujichanganya na watu,anafanya kazi zake kama kawaida,kuhusu kusema kamuona Mungu ni ili tu waumini wake wamuamini na azidi kuvuta wengine. "SADAKA TAMU UJUE".
SHE IS A HUSTLER.
We have two kinds of schizophrenic patients

And on the other side we have the schizoaffective patient very different from schizophrenic patient and on two categories of schizophrenic patient we have other several categories that's is accordance with Dsm 5 not DSM 4

I am. Here talking professionally not maneno ya mtaani and note my point sina shida na yeye kupata hela or whatever

Have a good day
 
157611.jpg

NG'WANZA INASHIKILIA REKODI YA KUWA NA MFALME NA BABA WA KWANZA WA KIKE DUNIANI (MFALME ZUMARIDI)!
HUPENDI?
 
Ana tofauti gani na wenye imani zingine ambazo watu wote wamerithi bila kupata ushahidi wowote?? Wanaoamini Nguva wapo wanawashtumu wanaoamini Dragons wapo😂😂😂😂 zote imani na Hazina ushahidi; ukiamini hadithi moja bila ushahidi basi kuwa mpole kwa hadithi nyingine
 
Mimi nmesema tu akianza kuonyesha negative symptoms tutakuepo hapa

Mambo yake ya kuhustle siyajui I think hujaelewa concern yangu mpaka Sasa mimi kama tabibu nmeona typically huyu mtu Ana shida Ana anahitaji msaada sina shida ya yeye kupata hela or whatever mimi mtu yeyote akija kwangu akiniambia ameongea na mungu sijui kaona nini that's a dangerous sign kwangu natakiwa nianza jiuliza anaumwa au ni just confabulations na haumwi basi
Hata mimi ni tabibu, ila nimempuuzia na kuona kuwa ni njaa tu ya mafanikio ndo inayomsumbua.Ana akili timamu kabisa. Anajua anachotarajia na kaweka mikakati yake ili kufikia ndoto zake, lengo lake ni kupata watu wengi ipasavyo ,yeye kujulikana ili avute watu na sadaka ziongezeke. Fikiria anasema kumfufua Kanumba na Sajuki. Kalenga hayo majina coz anajua ni ma star hivyo atagusa watu weeengi. Niliangalia interview yake kuna sehemu alisema Dr alifanye C section kwa mama yake ili yeye azaliwe,Dr alikuwa peke yake na huyo mama Zuma kwenye chumba cha upasuaji. Uliona wapi Dr anakuwa peke yake na mama mjamzito tu wakati anafanya hii intervention?Ila majority wataamini.
Mimi ninamuona Zumaridi ni mwanamke mwenye akili kaamua kutumia njia hiyo ili kujukwamua kimaisha.
 
Kama. Ungekua ni mtu mwelewa na mstaarabu you could simply ask how is it possible that mental diseases are contagious

And you could be much curious to learn and understand lakini ndo much know Sasa ndugu yangu unajua yote na unafahamu yote

Sijui unaishije na watu huko

I am curious
Hahahaha hadi umeshanijudge jinsi ninavyoishi na watu huku kwenye ulimwengu asilia!

Bro, i'm telling you, you have issues, fix it
 
We have two kinds of schizophrenic patients

And on the other side we have the schizoaffective patient very different from schizophrenic patient and on two categories of schizophrenic patient we have other several categories that's is accordance with Dsm 5 not DSM 4

I am. Here talking professionally not maneno ya mtaani and note my point sina shida na yeye kupata hela or whatever

Have a good day

Professional doctor hawezi akathibitisha fulani ni mgonjwa bila kumpima na kujua historia yake,
Professional doctor hawezi kuja na suluhisho fulani ni mgonjwa wa akili kwa kumuona kwenye tv,

Na kitendo cha kukomalia "mimi ni tabibu, mimi ni tabibu" tayari inaonesha kuna shida mahali,

Umeenda mbali sana kutaja Bipolar na Schizophrenic, mgonjwa wa Bipolar unamjuaje kwa kumuangalia kwenye Tv bila kua kwenye maisha yake halisi?

Schizophrenic really! Siwezi hata kuanzia kwenye hilo kisa amesema aliona Jua, aliona Malaika, alifika Mbinguni, alikutana na Manabii, aliona Watu waliokufa tayari umethibitisha ana Schizophrenic..... please[emoji732]️
 
Na hao waandishi wa Vitabu vya Supernaturals, wana matatizo ya Akili? Maana akichokisema Zumaridi kipo kwenye movies kibao na hata ikitokea Mtu akatungia kitabu/movie anapiga hela ndefu [emoji38]
 
Back
Top Bottom