Hivi huyu mtu anayejiita Mfalme Zumaridi anatuchukuliaje?

Yule ni kichaa, nchi vichaa walivyo wengi hakosi wafuasi. Mi ninayesikiliza naona aibu yeye haoni shida. Sasa mtu km yule ni binadamu wa kawaida?
 
Angesema mweupe mngeamini na kumfuata kwa wingi
 
Nchi huru hii, kwani anatofautigani na wanaoamini mbinguni unapewa mabikira?, ama kiarabu ndio lugha ya mbinguni? Si ndio kama yeye alivyosikia motoni watu wanaongea kisukuma[emoji1]
 
Daaa ila huyu nae Chiboko sana wajua khaaa basi sawa mamlaka zipo lakini hana leseni.....huku media wampotezee anapotosha umma
 
Kwani yeye ndo wa kwanza kusema kaenda mbinguni? Mueleweni kama mnavyowaelewa wanaowauzia mafuta. Kwani yupi alikuja na chochote akasema karudi nacho kutoka mbinguni? Wote ni maneno tu.
 
Nchi ngumu sana hii, ndiomaana Kagame hataki kusikia matakataka kama haya anataka mtu mwenye Ilmu ya dini na ana vyeti kabisa sio mganga wa kienyeji anaibuka tu huko anajiita siui asikofu sijui takataka gani, kimsingi masikini tuna matatizo mengi sana hasa ya Afya ya akili.
 
W
Wajinga ndiyo waliwao.
 
Kina zumaridi mbona wapo wengi

Kanisa lake analiita club,
Mafundisho yake yamejaa ufreemason mtupu ndio wamiliki wa grace product. Hawa ndio watumishi waliomezeshwa biblia na waganga, kuwapotosha watu.
Ndio magugu yenyewe
 

Attachments

  • Screenshot_20230314_090126.jpg
    114.2 KB · Views: 5
  • Screenshot_20230314_090113.jpg
    126.8 KB · Views: 7
  • Screenshot_20230314_090053.jpg
    107.7 KB · Views: 6
Htizama mahojiano ya huyu anayejiita mfalme Zumaridi na Mtangazaji wa Clouds, Millard Ayo na nimebaki na maswali mengi sana lakini kubwa ni kwamba ANATUCHUKULIAJE WATANZANIA?
Hata Paulo alikutana na mungu yesu baada ya kuondoka rasmi duniani,usimlaum mungu wa huko ukristoni ni mtu simpo,maana alishawahi jichanganya kushuka duniani usiku,yakobo akamshtukia,zikapigwa usiku kucha mungu akapakachuliwa upaja alitakiwa kumbariki yakobo
 
Mi naskia kichefuchefu na vile nimeliona live muda wote wa kesi basi sina hamu nalo. Na waumini wake wote walirogwa siku moja yule mama alobakigi nae yupo mahakamani kashika biblia ati "naapa kwa jina la zumaridi" aiseee mhe reaction yake haikuwa ya kitoto akamwambia apa kama inavyotakiwa ndo wakili wake akaona aibu akaongea nae akaapa vizuri. Wajinga wapuuzi hawa.
 
Kama uliwahi sikia kuwa Kuna watu ambao ni NUSU Pepo na nusu mwanadamu, huyo ni one of them.

Kuzimu hivi sasa inawatoa watu chini na kuwaleta juu kufanikisha mission zao duniani.

Mama yake mzazi anajua baba wa mtoto ni nani.

Yajayo yanafurahisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…