Hivi huyu ni Kiongozi au tapeli? Kwanini Mamlaka zinamlea kiasi hiki?

Kama ilifikia mahali kiongozi anatoka eneo la himaya yake yake ya kazi anakwenda kuvamia maduka ya watu, kwanini kiongozi kama huyu asiitwe jambazi?

Huu unyang'anyi au uporaji wa mali za watu usiku unatumwa na nani? Halafu mpuuzi moja akitoka hapo anamtaja hadi Mungu.

Kwa mujibu wa gazeti andiko toka gazeti kiuchunguzi la Sauti huru hizi ni video zilizonaswa na CCTV zikionesha jinsi DC wa Hai alivyovamia maduka ya watu Usiku mjini Arusha akinyang'anya pesa za wafanyabiashara kwa nguvu.

Hawa ndio viongozi wa umma wa serikali ya mwendazake.

View attachment 1746084
View attachment 1746085
Unamzumzia nani huyo? Kiboko yake mnywa bapa? Poleni sana, anakubalika sana kwa wananchi wa kawaida Wilaya ya Hai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ilifikia mahali kiongozi anatoka eneo la himaya yake yake ya kazi anakwenda kuvamia maduka ya watu, kwanini kiongozi kama huyu asiitwe jambazi?

Huu unyang'anyi au uporaji wa mali za watu usiku unatumwa na nani? Halafu mpuuzi moja akitoka hapo anamtaja hadi Mungu.

Kwa mujibu wa gazeti andiko toka gazeti kiuchunguzi la Sauti huru hizi ni video zilizonaswa na CCTV zikionesha jinsi DC wa Hai alivyovamia maduka ya watu Usiku mjini Arusha akinyang'anya pesa za wafanyabiashara kwa nguvu.

Hawa ndio viongozi wa umma wa serikali ya mwendazake.

View attachment 1746084
View attachment 1746085
😅😅😅
 
Anatesa jamani...kuna reply moja nilisoma akifika sehemu anakula na wapambe wake alafu anasepa wewe muhudumu ndo unakatwa mshahara wako
Kwao naona hizo ndo zao,babake aliwahi kuwa mkuu Wa wilaya pia,alitesa wananchi naskia wajamchomea nyumba.
 
Kum... hivi mpaka sasa yupo salama salimini huyo jambazi?
Anatakiwa alipwe sawa sawa na matendo yake kenge huyo
 
Kama ilifikia mahali kiongozi anatoka eneo la himaya yake yake ya kazi anakwenda kuvamia maduka ya watu, kwanini kiongozi kama huyu asiitwe jambazi?

Huu unyang'anyi au uporaji wa mali za watu usiku unatumwa na nani? Halafu mpuuzi moja akitoka hapo anamtaja hadi Mungu.

Kwa mujibu wa gazeti andiko toka gazeti kiuchunguzi la Sauti huru hizi ni video zilizonaswa na CCTV zikionesha jinsi DC wa Hai alivyovamia maduka ya watu Usiku mjini Arusha akinyang'anya pesa za wafanyabiashara kwa nguvu.

Hawa ndio viongozi wa umma wa serikali ya mwendazake.

View attachment 1746084
View attachment 1746085
Ole sabaya ni jambazi, anastahili kipigwa kama mbwa coco mwizi
 
Huyu mama hata nchi ikimshinda sitamind,kuniondolea ubabe kwangu inatosha,uongoz wa magu ulaaniwe
 
Back
Top Bottom