Nuraty J
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 1,729
- 3,831
ni shangaz yako uyoSamahani... hapo kwenye avatar ni ww?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni shangaz yako uyoSamahani... hapo kwenye avatar ni ww?
Unamzumzia nani huyo? Kiboko yake mnywa bapa? Poleni sana, anakubalika sana kwa wananchi wa kawaida Wilaya ya Hai.Kama ilifikia mahali kiongozi anatoka eneo la himaya yake yake ya kazi anakwenda kuvamia maduka ya watu, kwanini kiongozi kama huyu asiitwe jambazi?
Huu unyang'anyi au uporaji wa mali za watu usiku unatumwa na nani? Halafu mpuuzi moja akitoka hapo anamtaja hadi Mungu.
Kwa mujibu wa gazeti andiko toka gazeti kiuchunguzi la Sauti huru hizi ni video zilizonaswa na CCTV zikionesha jinsi DC wa Hai alivyovamia maduka ya watu Usiku mjini Arusha akinyang'anya pesa za wafanyabiashara kwa nguvu.
Hawa ndio viongozi wa umma wa serikali ya mwendazake.
View attachment 1746084
View attachment 1746085
😅😅😅Kama ilifikia mahali kiongozi anatoka eneo la himaya yake yake ya kazi anakwenda kuvamia maduka ya watu, kwanini kiongozi kama huyu asiitwe jambazi?
Huu unyang'anyi au uporaji wa mali za watu usiku unatumwa na nani? Halafu mpuuzi moja akitoka hapo anamtaja hadi Mungu.
Kwa mujibu wa gazeti andiko toka gazeti kiuchunguzi la Sauti huru hizi ni video zilizonaswa na CCTV zikionesha jinsi DC wa Hai alivyovamia maduka ya watu Usiku mjini Arusha akinyang'anya pesa za wafanyabiashara kwa nguvu.
Hawa ndio viongozi wa umma wa serikali ya mwendazake.
View attachment 1746084
View attachment 1746085
Ahaaa ndio Masai anaogopa sana nyoka hata Samaki hawalagi wanamfananisha na nyoka,hata Yale mabangili nyie mnavaaga miguuni mnaita vikuku,Masai anavaa miguuni kama kinga ya nyoka.
Kwao naona hizo ndo zao,babake aliwahi kuwa mkuu Wa wilaya pia,alitesa wananchi naskia wajamchomea nyumba.Anatesa jamani...kuna reply moja nilisoma akifika sehemu anakula na wapambe wake alafu anasepa wewe muhudumu ndo unakatwa mshahara wako
Ole sabaya ni jambazi, anastahili kipigwa kama mbwa coco mwiziKama ilifikia mahali kiongozi anatoka eneo la himaya yake yake ya kazi anakwenda kuvamia maduka ya watu, kwanini kiongozi kama huyu asiitwe jambazi?
Huu unyang'anyi au uporaji wa mali za watu usiku unatumwa na nani? Halafu mpuuzi moja akitoka hapo anamtaja hadi Mungu.
Kwa mujibu wa gazeti andiko toka gazeti kiuchunguzi la Sauti huru hizi ni video zilizonaswa na CCTV zikionesha jinsi DC wa Hai alivyovamia maduka ya watu Usiku mjini Arusha akinyang'anya pesa za wafanyabiashara kwa nguvu.
Hawa ndio viongozi wa umma wa serikali ya mwendazake.
View attachment 1746084
View attachment 1746085
Magufuri aliwachukia sana wafanyabiashara,sjui kwannAiseee inasikitisha sana; utawala wa JIWE wafanyabishara wamenyanyasika sana, wameteseswa sana, wamefilisiwa sana na TASK FORCE.