Atlast nimempata
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 585
- 1,166
Hapana Sio Huyo Ni MfanyaBiashara Kutoka Zimbabwe Alikuja Ziara Ikulu kwa ajili ya Uwekezaji alianza Kwanza KenyaAkili mnemba
Ngumu sana, huyo ni mlemavu asiyejijua.Ana shida...kwa huo mtumbo hawezi kukaa 90 degrees
At last umempata😂😂Hapana Sio Huyo Ni MfanyaBiashara Kutoka Zimbabwe Alikuja Ziara Ikulu kwa ajili ya Uwekezaji alianza Kwanza Kenya
mkuu kwan huoni kuwa huyo mwamba ni mgonjwa"hata kama rais ni wa hovyo kiasi gani tumtii"
Jerry Muro 2025
Kama ni ndugu wa familia mjukuu?Shida sio kukaa hivyo mbele ya SSH. Shida ni pale Rais kakaa kwenye kiti chenye mamlaka ya utawala na bendera zote mbili ya Rais na ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania zikiwa nyuma yake alafu mtu anakaa mbele ya mamlaka kama yuko geto na masela huku yuko bize na simu na haonyeshi kumsikiliza mkuu wa nchi?
Ukiweza kutii kitu cha hovyo basi hata wewe ni wa hovyo!."hata kama rais ni wa hovyo kiasi gani tumtii"
Jerry Muro 2025
Shida sio kukaa hivyo mbele ya SSH. Shida ni pale Rais kakaa kwenye kiti chenye mamlaka ya utawala na bendera zote mbili ya Rais na ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania zikiwa nyuma yake alafu mtu anakaa mbele ya mamlaka kama yuko geto na masela huku yuko bize na simu na haonyeshi kumsikiliza mkuu wa nchi?
Kaonesha madhrau kwa Mama ya Shamia👿