Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,791
- 23,561
Inaonekana basiiii 😂😂😂Namuona mama wa kizimkazi jicho likiwa zimezama kwenye dushe ya jamaa
Inaonekana basiiii 😂😂😂Namuona mama wa kizimkazi jicho likiwa zimezama kwenye dushe ya jamaa
Pengine amekaa hivyo kwa ruhusa ya huyo mnaemuita mamlaka kuu ya nchi yenu,Shida sio kukaa hivyo mbele ya SSH. Shida ni pale Rais kakaa kwenye kiti chenye mamlaka ya utawala na bendera zote mbili ya Rais na ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania zikiwa nyuma yake alafu mtu anakaa mbele ya mamlaka kama yuko geto na masela huku yuko bize na simu na haonyeshi kumsikiliza mkuu wa nchi?
Fisiemu kama wapo sawa watengeneze script. Ionyeshe hata machokaraa walifika ikulu kwa mama wakajiachia vile vileLakini mtu kama huyu kupenya hadi ikulu ya rais maana yake kaja na memo kutoka kwa rais wa Zimbabwe. Inawezekana huyu jamaa ni mpiga dili wa kimataifa kwakweli.
Humu TZ waziri wa elimu alishindwa kuingia ikulu kupeleka hoja muhimu za elimu lakini Chivayo kapenya kwa kigezo cha mwekezaji.
Kuna wawekezaji wangapi wanakuja bongo wanaishia kwa mamlaka za chini na siyo lazima kuonana na rais.
Kwani Chivayo ana nini cha ziada mpaka atimbe ikulu?
Au upiluuuInaonekana basiiii 😂😂😂
OK, tuchukulie hivyo labda tumbo, je kukaa mbele ya rais huku unachezea simu?Ana shida...kwa huo mtumbo hawezi kukaa 90 degrees
Awe anachezea na simu?Mkuu huoni kuwa huyo jamaa ni mgonjwa?
Ila alipokua na Ruto hizo 90 degrees zika apply kwa samia aahhh!!!!!!Ana shida...kwa huo mtumbo hawezi kukaa 90 degrees
Kwa tunapoelekea watatuambia tuanze kumuita Mungu baba..!au unadhani samia ni Mungu?
Na huko Kenya alikaa hivyo hivyo bila shaka!Hapana Sio Huyo Ni MfanyaBiashara Kutoka Zimbabwe Alikuja Ziara Ikulu kwa ajili ya Uwekezaji alianza Kwanza Kenya
Labda kuna kitu alitaka kumwonyesha rais kutoka kwenye simu yake, hapa tumlaumu mpiga picha nadhani, hyo pic haikutakiwa kwenda publicAwe anachezea na simu?
Anamchezea kwa kuwa demuOK, tuchukulie hivyo labda tumbo, je kukaa mbele ya rais huku unachezea simu?
Kumbe kukaa vizuri anaweza
Nafikiri huyo ndio mtaalamu wa kuiba kura na anajulikana huko Zimbabwe, Kenya ba South Africa. Nimeona sehemu makala inayozungumzia utapeli wake katika ballot printing kama inavyolipotiwa hapa : https://www.theafricareport.com/367...-to-supply-election-ballot-papers-in-namibia/Hapana Sio Huyo Ni MfanyaBiashara Kutoka Zimbabwe Alikuja Ziara Ikulu kwa ajili ya Uwekezaji alianza Kwanza Kenya