Shida sio kukaa hivyo mbele ya SSH. Shida ni pale Rais kakaa kwenye kiti chenye mamlaka ya utawala na bendera zote mbili ya Rais na ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania zikiwa nyuma yake alafu mtu anakaa mbele ya mamlaka kama yuko geto na masela huku yuko bize na simu na haonyeshi kumsikiliza mkuu wa nchi?
Nilikua simjui, nimepitia huu uzi ndy nikamjua vizuri.View attachment 3352456
![]()
Mjue milionea Chivayo anayefuata nyayo za Ginimbi
Chivh ni mji mdogo wenye mkusanyiko wa wakazi laki moja na elf 13. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka 2017. Mji wa Chivh upo umbali wa kilometers 141 kusini mwa jiji la Harare. Njia kuu ya kwenda Africa ya kusini. Kwanini mji wa Chivh umekuwa sehemu ya andiko hili?! Sababu hapa ndipo...www.jamiiforums.com
![]()
Ginimbi: Kutoka umachinga mpaka ubilionea
Genius Kadungure aka Ginimbi ni raia wa zimbabwe ambaye alizaliwa tarehe 10 October 1984,Mwaka 2000 alianza kujishughulisha na uuzaji wa mitungi ya gas na kuanza kusupply majumbani,alifanya biashara hiyo ambayo ilimpa uzoefu mkubwa na kuanzisha kampuni yake mwenyewe ijulikanayo kama Pioneer...www.jamiiforums.com
Maskini hua ni muoga sana.Juzi kati kulikuwa na mkutano fulani wa viongozi fulani kule ivory coast nilioana makamu wetu wa rais akiwa amekaa vema huku wenzake wamekaa shaghalabaghala, mikao ya ajabuajabu.
Lazima wajae kwenye mfumo ,mabilionea TIP zao ni Bilioni kadhaa.Nilikua simjui, nimepitia huu uzi ndy nikamjua vizuri.
Huyu kuna kitu tayari anakimezea mate.
Bahati mbaya tuna vilaza wengi kule kunako watajaa kwenye mfumo.
Shida sio kukaa hivyo mbele ya SSH. Shida ni pale Rais kakaa kwenye kiti chenye mamlaka ya utawala na bendera zote mbili ya Rais na ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania zikiwa nyuma yake alafu mtu anakaa mbele ya mamlaka kama yuko geto na masela huku yuko bize na simu na haonyeshi kumsikiliza mkuu wa nchi?
Mbona hapa kakaa kwa adabu?
Tanzania ni vile utakavyojisikia, ili mradi uwe na hela tu.Mbona hapa kakaa kwa adabu?
Hapa kakaa kwa heshima zake 🤣🤣🤣
Hilo ni tapeli la kimataifa kutoka zimbabwe linajulikana sana tu wicknell chivayo ndiyo jina lake au ukipenda muite CHIBABA kama nickname sina hakika kama ana deal nyeupe huyo mwambaHapana Sio Huyo Ni MfanyaBiashara Kutoka Zimbabwe Alikuja Ziara Ikulu kwa ajili ya Uwekezaji alianza Kwanza Kenya
AI"hata kama rais ni wa hovyo kiasi gani tumtii"
Jerry Muro 2025
Anaitwa wicknel chivayo kutoka zimbabwe ni mtu flan hiv ambaye anapesa ila magumashi sanaAmekulaa pesa za nchi mpk kitambi kimekuwa over size manina
sio uoga, ni ustaarabu kukaa mkao mzuri, have a proper sitting attiquet. Ni mpaka kula, unatakiwa kula kwa heshima na adabu hali kadhalika kuvaa na kutembea ongeza na kuongea piaMaskini hua ni muoga sana.