Hivi huyu ni nani anayeweza kukaa mbele ya mamlaka kuu ya nchi yetu namna hii?

Kwani aliyokuwa akifanya Elon Musk kwa Donald Trump hamkuwa mkiyaona?? Sielew kinachowaumiza kichwa nikipi
 
Dah,
Labda anaumwa mgongo huyo mwamba
 
Huyo Wicknell ni mnene sanaaaa ni ujinga alio nao kichwani mwake ndio maana mnene hivyo, ingawa ana fedha kiasi, ila ni mjinga kichwani, kuwa na fedha sio kwamba una akili.
 
Huyo ndiye mwenyekiti wa kamati ya kupoteza watu nadhani.
 
huyo mwenye mamlaka mwenyewe hajaumia unakuja kuumia wwwe?
Mkuu kaumia kwasababu ya Ikulu yetu ukitoa Raisi Ikulu ni sehemu takatifu sasa huyu amekaa kama yupo Kitambaa cheupe au Kimboka Buguruni.
 
Hahahah na kweli kama yupo geto tu na masela kajiachia kinoma noma hiyo ndiyo pesa jomba huyo ni mfanyabiashara wa Zimbabwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…