Hivi huyu ni nani anayeweza kukaa mbele ya mamlaka kuu ya nchi yetu namna hii?

Pengine amekaa hivyo kwa ruhusa ya huyo mnaemuita mamlaka kuu ya nchi yenu,
 
Lakini mtu kama huyu kupenya hadi ikulu ya rais maana yake kaja na memo kutoka kwa rais wa Zimbabwe. Inawezekana huyu jamaa ni mpiga dili wa kimataifa kwakweli.

Humu TZ waziri wa elimu alishindwa kuingia ikulu kupeleka hoja muhimu za elimu lakini Chivayo kapenya kwa kigezo cha mwekezaji.

Kuna wawekezaji wangapi wanakuja bongo wanaishia kwa mamlaka za chini na siyo lazima kuonana na rais.
Kwani Chivayo ana nini cha ziada mpaka atimbe ikulu?
 
Fisiemu kama wapo sawa watengeneze script. Ionyeshe hata machokaraa walifika ikulu kwa mama wakajiachia vile vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…