Hivi huyu pichani sio Ali Remtullah?

mwaka flan nakumbuka kijana wangu alikuwa kidato cha tatu akaniambia kuwa kikundi chao cha mitindo pale school kwao(dar sec) wamepata mualiko sehem!dah hii siku nilishtuka utadhani nimepokea habar ya msiba na nlimkata kijana jicho na matusi yote nahisi nilimpa maana mwisho wake nilijua utakuwa kuvaa vikuku
tu!toka hiyo siku sikuwah kumsikia na hizo mambo na nilimshukuru mungu,alipomaliza kidato cha nne nakumbuka nilimwomba msamaha kwa ile siku na kijana akasema nisijali maana nilimwokoa na mwisho waliokutana nao wenzake
 
We utakua punga huwezi kutetea mwanaume mzima avae kikuku kama wewe sio mmoja wao
Wewe mtoto wa shule ya kata na brain yako butu yenye ugaga hata nikikueleza nini utaelewa????

Hebu kojoa ulale huenda ujinga utakutoka!!
 
Walengwa mmeanza kuumia baada ya rafiki yenu kunaswa na camera
Rafiki yetu nani?

Utakuwa na matatizo ya ubongo wewe!!

Mimi nazungumza kuhusu uhalisia, na wala sihitaji niwe rafiki yake ili nimtetee au niwe adui yake ili nimponde.

Popote pale penye uhalisia nazungumza tu bila kujali muhusika ni adui au rafiki yangu.

Hilo kwako ni gumu sana kuelewa maana kichwani umejaza uji mzito.

Ndio ninyi vijana wa bavicha mnaodhani kila anayemsifu magufuli ni CCM, au kila anayemponda ni Chadema.

Ukweli ni ukweli tu bila kujali mlengwa ni rafiki au adui.
 
Hebu andika taratibu nikuelewe.

Unatapa tapa tu.

Haya sasa, unasemaje???
 
kwa hizi comments zako hakuna shaka we ni ch.oko kabiisaa
 
We jamaa ina maana hujui km kuvaa kikuu mwanaume ni upunga na unatetea kabisa km sio punga wewe cjui
Kwahiyo kama nikijua kuwa kuvaa kikuku ni upunga ndio napata mamlaka ya kukemea?

Mimi sina mamlaka ya kukemea nani avae nini.


Hayo ni mamlaka ya majuha kama wewe ambao wanaona personal privacy ni masuala yanayotakiwa kujadiliwa na taifa.
 
Nchi za wenzetu watu wengi wa fashion, modelling, saloon wengi ni mashoga na siyo jambo la ajabu. Tutachukua muda kukubali hii hali ila yawezekana wachangiaji wengine wana vinasaba hivyo ila hawakubali ukweli otherwise tusingekuwa na neno Tigo.
;
ulichosema ni kweli. Me mashogha wapo sana kwenye fashion industry. Ukienda maduka ya nguo, me wanaofanya kazi humo wengi ni gays. Hata kwenye massage parlour, kutengeneza kucha, karibu wote ni mashogha.
 
Unaongelea Tanzania au? Plz, kikwetukwetu, kiasilia yetu kiTZ, Me wa ukweli hawavai vikuku. Unless hujazaliwa TZ
 
Mkuu umehamia siasa tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…