GODZILLA
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 5,909
- 10,542
Kuvaa kikuu sio tiketi au ishara ya moja kwa moja ya ushoga.Mkuu hivi ni wanaume wangapi marijali hasa umewaona wamevaa vikuku?
Anaweza kuvaa kikuku akawa shoga au asiwe shoga, na hata kama angekuwa shoga au asingekuwa shoga hiyo hainuhusu mimi wala yeyote.
So, what's the big deal here??
Are you hurt or something??