Hivi ile tabia ya vijana kupisha wazee siti kwenye vyombo vya usafiri huko kwenu bado ipo?

Hivi ile tabia ya vijana kupisha wazee siti kwenye vyombo vya usafiri huko kwenu bado ipo?

Labda kuwapisha mama wajawazito [emoji23][emoji23]tena mimba iwe kubwa ,na kama una mtt bac tunakupokea mtoto ww endelea kusimama [emoji23][emoji23]
 
Sipishi mtu kwenye usafiri ng'ooo. Kila mtu apambane na hali yake.
Kuna siku natoka muhimbili kwa dentist, nikapanda gari ya tegeta kuelekea kkoo nigeuze nayo. Inafika muhimbili mzee niliyemuacha hapo konda anataka nimpishe. Nilimshushia hasira zote za maumivu ya jino niliyokua nayo
 
Mbona Mkuchika hatupishi vijana kwenye ofisi za Umma?, Au huko maofisini wana Amana zao?. Utaratibu ni rahisi wewe ni mzee umekuta gari limejaa subiri au panda lenye siti.... Vinginevyo nikutafutia lawama vijana.
 
Wazee kwa asilimia kubwa wanapisha... Hivi ulishawahi kumpisha mtu akae siti yako wewe usimame alafu gari ikayumba ukamkanyaga kwa bahati mbaya au kumuegemea akakuangalia vibaya? yaani unatamani umuambie toka kwenye siti yangu😁
 
Anhaha kwa kweli binafsi siwezi pisha .huwezi panda gari una ona lime jaa afu utegemee huruma kila mtu ana shida zake
 
😁😁😁Kuna siku nlipanda gar pale mnazi Moja baada ya mwendo kidogo tu Kuna mzee kapanda konda kaniomba nimpishe nikazuga simsikii watu wakaanza kuniangalia nikapisha mzee akakaa kufika msimbazi center akawa anataka kushuka akawa anaminvite mdada flan akae yy anashuka!

Mie nisingesimama dadeq!
Kwani lazima?
 
Back
Top Bottom