Hivi ilikuaje hadi urafiki wa baba na jirani yake tolu kuvunjika?

Tall ni mtusi, baba yako alikuwa mhutu ulitegemea wangeelewana.
Rafiki wa baba yako alikuwa Nkurunzinza mhutu mwenzie mjinga mwenzie ndio maana Covid imewafyekelea mbali wakiwa madarakani.
 
Kagame na JPM
 
Labda Tolu alishitukia uwezo wa kuchambua mambo wa dingi ako,aliogopa asije akamuambukiza aibu huko mbeleni
 
uzi wa umbea tu..wambea mwanzoni walisema eti wale vijana wa SF waliomlinda hayati eti ni wa PK..
 
Corona baba.

Tolu maombi na nyungu masomo hakuyaelewa. Mzee baba akaona isiwe taabu kwanza yeye ana zali la kuongoza malaika pia.

Kwamba ni vita vya kiuchumi? Tolu akaona huyu mwamba vita anaifahamu au anaisikia?

Tolu naye akaona acha tuone maana he who laughs best laughs last.

Aliko tolu atakuwa yuacheka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…