Hivi ilikuaje hadi urafiki wa baba na jirani yake tolu kuvunjika?

Wakati wa uhai wake, marehemu baba aliwahi kuwa na urafiki na majirani zake, mmoja wapo ni tolu. Hata pale baba alipopata uongozi wa kijiji ushauri mwingi aliutoa kwa jirani tolu.

lakini katika siku za mwisho za uhai wake hapa duniani, baba alikosana mno na jirani yake tolu, wakawa hata hawajumuiki pamoja kama ilivyokuwa zamani. Nini hasa kilitokea mpaka ujirani huo ukafikia kikomo?
Mmoja ni mhutu na mwingine mtusi, hawaivi
 
Wakati wa uhai wake, marehemu baba aliwahi kuwa na urafiki na majirani zake, mmoja wapo ni tolu. Hata pale baba alipopata uongozi wa kijiji ushauri mwingi aliutoa kwa jirani tolu.

lakini katika siku za mwisho za uhai wake hapa duniani, baba alikosana mno na jirani yake tolu, wakawa hata hawajumuiki pamoja kama ilivyokuwa zamani. Nini hasa kilitokea mpaka ujirani huo ukafikia kikomo?
Baba Lofa na Tolu Mjanja ulitarajia nini?
 
Yani watu bado waoga hadi leo mnatumia codes? Kweli jamaa aliwashikisha adabu
Nadhani nimazoea tu ila huwa nashindwa kuelewa kwa nini Bongo movie Inayumba Kwa conspiracy theorists wa hapa JF wangekuwa na blockbusters movie kila mwezi
 
Fikiria hii story ikatengenezewa move kali
Hakika itauza balaa
 
Tolu muhuhuni muhuni anaendesha ile familia yake kijanja janja tu
 
Wakati wa uhai wake, marehemu baba aliwahi kuwa na urafiki na majirani zake, mmoja wapo ni tolu. Hata pale baba alipopata uongozi wa kijiji ushauri mwingi aliutoa kwa jirani tolu.

lakini katika siku za mwisho za uhai wake hapa duniani, baba alikosana mno na jirani yake tolu, wakawa hata hawajumuiki pamoja kama ilivyokuwa zamani. Nini hasa kilitokea mpaka ujirani huo ukafikia kikomo?
Wezi wanapozikana walichoiba.
 
Tolu kamponza Baba, Baba naye ya kuambiwa hajaongeza na zake.

Kila kitu kwenye maisha kina asili yake, kutokea kwenye familia,mfano ukiwa mfugaji wa kuhamahama tulia uendeleze ufugaji utaishi muda mrefu.

Kuliko ukafosi kuwa Gorvenor matokeo yake utaogopa kupanda hata meli,ndege maana asili inakukataa.

Utashindwa kushirikiana na wenzio Dunia ya leo ni kutegemeana, maana kiasili wewe ni mfugaji unatakiwa kuongoza wanyama.
Nimeupenda mfano wako mkuu. Kma ww ni mfugaji........😄😄😄😄
 
Inasemekana ugomvi wao ni njiwa baba aliingizwa choo cha kike,

Tolu ni mtu hatari saana roho mbaya anaiweza na akili anazo, aliyemuweza upande wetu ni mjomba aliyekuwa kapanga gorofa la nne
Hyo code ya mjomba ghorofa la nne bado mtihani mkuu
 
Back
Top Bottom